Recent content by Mwangesela

  1. Mwangesela

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Engine za Toyota?

    Ndugu zangu nataka kununua gari hususani brand za Toyota kama vile IST, Raum, Wish, Ipsum, Subaru, Kluger n.k. Je, ubora na uimara wa injini nitajuaje au nifanye nini nisiingie pori?
  2. Mwangesela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumridhisha Mwanamke inategemeana na nini?

    Wadau hivi kuna uhusiano wowote kati ya size ya uume na kumfikisha mwanamke kileleni? Mwenye uzoefu tafadhari sana.
  3. Mwangesela

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Mmhh hyo sasa mdau unatafuta balaa
  4. Mwangesela

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Wauza urembo na nguo za kike, wauza nyama
  5. Mwangesela

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na gari aina ya Toyota Nadia

    Thank you brother
  6. Mwangesela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahaaaa sasa c ungeendelea na kimya kimya au haikuwa poa huko mlikoenda
  7. Mwangesela

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na gari aina ya Toyota Nadia

    Naomba msaada mwenye uzoefu na gari hii TOYOTA NADIA UIMARA, BEI NA ULAJI WA MAFUTA
  8. Mwangesela

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

    Thanks administration for accepting my request im happy to be official member of this forum hope nitanufaika na mengi
Back
Top Bottom