Mimi najiuliza nin maana ya kucertify mbona kwenye hvyo vyeti wameandika this is to certify that mr.... Kwan lazma mhuri Wa mahakama. Me naona zote ni taasisi za uma na zinamamlaka ya kutoa vyeti. Huu ni ubabaishaji 2 wa mambo. Kwa hyo taasis za elimu haziamiki ila mahakama?
Ulisha chelewa cheti cha form four ndio shida, hakibadilishwi wala kutolewa kingne hebu fuatilia hapa kama inawezekana lakin nijuavyo mimi ni ngumu bz ya kuzidi kwa vyeti feki.
Vp kuna sehemu wameonyesha kuwa mwombaji ambatanishe cheti cha kuzaliwa na passport?. Me sijaona kwenye tangazo ila watu wanafanya. vp hii msaada jaman?
Hv jamani chuo maana yake nini? Chuo ni sehemu ya kujifunza theory na sio practice. Kwa hyo hapa mtu mwenye kufaulu vizuri ndio mzuri .sasa kama wewe huna theory unapractice nini?
Sisi wenye GPA Ndogo daa tunajitetea sana. Tunatoa mifana kujifariji. Ualimu hakuna interview shwaaa unaingia bila shaka. Kwan hyo GPA Ndogo ulipenda kupata au ndio uwezo? Usilalamike bana si ulicheza chuo sasa basi komaa.
Nashukuru mungu mimi nina GPA 2 kama mwalimu nmeajiriwa tena dar es salaamu-kinondön. Wenye GPA ndogo karibu ualimu maana hamna uwezo. Aliyefeli form form alienda ualimu. Six ualimu .chuo Ambao sio walimu na wana GPA Ndogo karibu ualimu kila kila kitu kidogo. Ila GPA Ndogo huku kungine...
Tatizo wabongo waoga sana. Jaribu kusoma sheria za ajira. Kama huwezi basi omba msaada wa sheria. Musiishie kulalamika kama vile sio wasomi. Sheria zote zipo wazi. Tafuta mtu aliyesoma HR au sheria akupe maajuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.