Recent content by mwangalizi

 1. mwangalizi

  Je, hoja za Nyalandu zimejibiwa?

  Upo sahihi, tena huyu ndugu ana siasa za kistaarabu, si wa kufurumusha mitusi
 2. mwangalizi

  Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

  Si mambo ya kuhitaji kuumiza kichwa chako haya, miaka yote tumeimba, tumetisha, tumesingizia watu kuwa WANAHATARISHA MUUNGANO, kwamba MUUNGANO ULINDWE KWA GHARAMA ZOZOTE. Acha mambo yaende hivyo hivyo; ndiyo gharama yenyewe
 3. mwangalizi

  Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

  Vipi kuhusu makaburu wa south Africa? Waliojenga miundo mbinu kibao huko south? Unataka kutuaminisha wana legacy kubwa kuliko Mandela? Pole, uchungu wa msiba bado haujakutoka, nakushauri utumie muda mwingi kulala, akili zitakurudi.
 4. mwangalizi

  Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

  Sisi na nani? Wezi wakubwa! Msituchanganye kwenye ushamba wenu. Wana wenye laana ninyi.
 5. mwangalizi

  Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

  Unajaribu kusafisha shimo la choo, utaweza? Ni nani ambaye hakusikia ujinga wa huyo unayemtetea? Aibu yake na laana yake vitamfuata hadi kizazi chake cha saba, usijaribu kununua matatizo ya mpuuzi
 6. mwangalizi

  Watanzania tuwe wavumilivu, hili la kupanda bei vifurushi tutavumilia pia

  Mambo ya kupita tu haya, sisi wanyonge tunaelewa maana ya kunyongwa na pia tunakubali kunyongwa, yaani kiroho safi safi tu
 7. mwangalizi

  CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

  Nimeachana naye juzi aise, nitakuja kwenye agriculture, natumaini utakuwa mwenyeji wangu
 8. mwangalizi

  CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

  Sawa ndugu, huko utatoboa vizuri tu maana mazao yanakubali huko. Biashara na ajira katika zama hizi hazilipi, labda uamue kula haramu kama huyo OC CID
 9. mwangalizi

  CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

  Yaani bado ya moto moto hii, Landanai nimefika kwenye mashamba ya mzungu pia
 10. mwangalizi

  CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

  Hapo Babati penye jina lako kuna ujinga mwingi unaendelea kituo cha polisi. OC CID yupo bize kuwabandika kesi watuhumiwa mbalimbali kisha anadai pesa ndefu ili kuruhusu dhamana zao.
 11. mwangalizi

  CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

  Hayo ni FACT, ndivyo ilivyo mazima
 12. mwangalizi

  Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

  Na bado, mtalia sana lakini hamtaniona. Mtasaga meno
 13. mwangalizi

  Mpito wa kisiasa

  Ubaya wanaharibu taswira ya jeshi zima, japo nadhani asilimia kubwa ndiyo mapigo yao hayo
 14. mwangalizi

  Mpito wa kisiasa

  Ukiwa na ofisi unaweza ukaibinafsisha tu, ukafanya upendavyo, mfano huyu Juma.
 15. mwangalizi

  Mpito wa kisiasa

  Na wanapiga hela ndefu balaa, lakini wanakula hukumu zao tu mbele za Mungu
Top Bottom