Goodluck anayetajwa Sana kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Anatekeleza majukumu yake, huna sababu ya kumjua. Halafu ukishamjua unataka kumfanya nini
 
Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Ni VEMA Akajulikana ili TUMSUBIRI ASTAAFU
 
Wasiojulikana taratibu wanajulikana
 
Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Vipi wewe hukuingia kwenye 18 yake?
 
Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Hai makomandoo wamtafute Goodluck walipize kisasi..ni panya mdogo sana kama hana hayo mavazi ya upolisi
 
Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Wekeni picha ya huyu boya
 
Mwenye picha yake atuwekee

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sio huyo tu, hata huyu mtoto wa Mahita ametajwa kuwepo Tabora wakati wa hii operation. Na ndio huyo huyo alikuwa Kilimanjaro kuwashughulikia kina Adamoo. Ndio hawa wasiojulikana wanaozurura nchi nzima kutesa Watanzania.

Mungu aendelee kumbariki Zakaria wa Tarime kwa namna alivyoshughulika nao walipoingia anga zake.
 
Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Tuelezwe na wazazi/ndugu zake ni kina nani na wapo wapi pia, tukawaeleze walivyo waajabu kutuzalia mtoto kama badluck
 
Back
Top Bottom