Recent content by mwangalamu

  1. M

    W J Malecela kwa hili la wizi na kutokuwajibika kwa mawaziri ungekuwa upande gani?

    Tulikuwa tunajiuliza kwa nini ulikosa ubunge wakati tulikua tunaamini kuwa wewe ni kijana makini kumbe wewe ni kijana bogasi, Kama mbunge unawakilisha wananchi inamana kwamba umeaminiwa na kupewa zamana. Kuhiyo ukiwepo bungenei una wakilisha mawazo ya wengi. Wewe kama kiongozi unatakiwa...
  2. M

    Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba?

    Acha mawzo ya wafu jiulize nani ataziba pengo la pesi zilizo ibwaa na watu uliyo wapa dhamana wakuongoze. Natumaini umetumwa utuchanganye tupo makini mpumbavu wewe.
  3. M

    Naitaji pharmacist wa kusimamia pharmacy

    Anaitajika phamacist wakusimamia pharmacy mwenye cheji kilicho sajiliwa. Kituo cha kazi kipo Dar es salaam Sinza . Mawasiliano - 0655886788 , Email- living_sto20@yahoo.com
  4. M

    Lissu naye kuenguliwa

    Yawezekana kweli, kumbuka hivi ni vita na mapambano nimakali na yamepamba moto baada ya Arumeru. But wanapoteza muda. dawa ni maisha bora kila mtanzania tatizo siyo hao watu but warudisha haki wanayo tuibia .
  5. M

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Ngoja tusubili mimi naona ni walewale
Back
Top Bottom