Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Cosmas.olomi, Apr 24, 2012.

 1. C

  Cosmas.olomi Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba na serikari ikamtambua kama mtu anayechangia kujulikana kwa nchi yetu hii changa kimaendeleo?
   
 2. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Vicent kigosi
   
 3. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Tushachoka na TOPIC za Kanumba.
   
 4. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Hakuna pengo.
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  To me only God is the Great au mnasemaje wadau?
   
 7. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mhe. Pinda pamoja na wabunge wa CCM
   
 8. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  COSMAS Watu wamekufa wengi hakuna kilichoyumba itakuwa Kanumba kwani yeye alikuwa na nini cha zaidi.
  Uliza kwenye familia yake kama bado wana mawazo kama yako, wameanza kufikiria juu ya ustawi wao. Muda huu waTZ tunaangalia mustakabali wa nchi yetu siyo kufikiria wale waliokwisha kutoka duniani maana hawana cha kupoteza tena. JIULIZE WEWE UKIFA PENGO LAKO ATALIZIBA NANI.
  Majibu ukushayapata na Huyo uliyemtaja itakuwa hivyo hata kwenu waliokufa mapengo nani kayaziba?
   
 9. n

  ngaranumbe Senior Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waigizaji wanaofaa kumrithi Kanumba ni Bunge (ze comedy) na JK kiongozi wao; eti wanapinga ufisadi alafu kura za kuwawajibisha mawaziri zikasuasua kutimiza idadi kura 70, je hapo kuna nini? wabunge wengi ni washenzi na wapumbavu kwelix2. hebu ona wabunge zaidi ya 300+ alafu kura hazikufikia hata nusu yao, mapuuzi kweli. Wakumrithi Kanumba ni Mtoto wa mkulima na bosi wake JK.
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hivi nchi yetu ni changa kimaendeleo au imedumaa kimaendeleo?Yaani mtu mzima na akili timamu anapost ***** kuwa nchi ya miaka 50 ni changa je south sudani si itakuwa mimba!
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sikliza Wimbo wa Waswahili unaitwa Pengo wamemshirikisha Mangustino.
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,722
  Likes Received: 12,779
  Trophy Points: 280
  ili ni jukwaa la siasa baada ya kutuuliza nani anaweza ziba pengo la mizengo we unatwambia kanumba! who is kanumba katika jukwaa la siasa? tujaribu kuwa makini sana kuna mambo mengi ya kujadili kwenye nchi yetu!
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Baba mwanaasha ndiye atakaye mrithi kwani huoni mambo anayofanya ni yakisanii? Kwahiyo pengo hamna tena
   
 14. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mwana imuvuzishe hii na kuipeleka kwenye jukwaa lake hucika.. Hapa ni jukwaa la siasa na members wote humu wako busy kumjadili Pinda & Co.. Hawakawii kuku-lusinde hapa...
   
 15. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ni uwajibikaji wa mawaziri + M4C + Magamba + uchaguzi mdogo + kesi za wabunge kupinga matokeo. kuhusu Kanumba sikiliza clouds fm, soma Ijumaa okey?
   
 16. Massawe mtata

  Massawe mtata Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BABA RIDHI ONE maana ni msanii wa kutisha ikishindikana kwa sababu ya misele yake Pinda anafaa
   
 17. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Makinda, Ndugai, kilango, Lusinde, makamba Jk wote wanafaa
   
 18. m

  mwangalamu Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha mawzo ya wafu jiulize nani ataziba pengo la pesi zilizo ibwaa na watu uliyo wapa dhamana wakuongoze. Natumaini umetumwa utuchanganye tupo makini mpumbavu wewe.
   
 19. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Kwani Kanumba ndie nani? Watu wanashuka na wengine wanapanda. Ndivyo life lilivyo. Hakuna kitu kinaitwa 'pengo'. Maisha ni kama maji ndani ya chupa. Maji yakimwagika yaliyobaki yata-cover tu.
   
 20. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wapo wengi lakini sharti wajiunge na freemason kwanza
   
Loading...