Recent content by Mwangah

  1. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu/kwangu kuhusu "biashara"

    Aksantee.. Nitawapatia wap?..
  2. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu/kwangu kuhusu "biashara"

    Aksante.. Lkn ongera ni ya nn?
  3. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu/kwangu kuhusu "biashara"

    Ndugu wana Jforum, nawasalimia kwa salamu zote. Husika & kichwa cha habari hapo juu"MAWAZO YENU/KWANGU". Pichani kama navyoonekana, ni Mimi MWANGAH nilikuwa maeneo ya kazi zangu ktk mkoa wa KILIMANJARO wilaya ya MWANGA kwenye BODABODA. Kwa sasa, nimerud maeneo ya mkoa wa DAR & jiran mkoa wa...
  4. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Ataendelea.. Lkn mwendelezo upo kwenye kurudi Tarehe uliyozaliwa.. Hiz number za Bahati/Tatu mzuka,BIKO n.k
  5. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Usipitwe na viatu orijino vya kiume

    Mkuu, mwakan mwezi wa Pili nitafanya zoezi moja kubwa sana"NAFUNGA NDOA", kupitia Katolik ,maeneo Mbagala Zakhem. Nina taka kujua bei ya kila mzigo hapo, ili nikijiweza nikutafute pia..
  6. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Ufadhili "Mkataba" wa kusaidiwa pikipiki ya kufanyia biashara ya bodaboda

    Ni kwel mwenye shiida haimpas kuchagua.. Lkn ndugu, ili niweze kufanya kazi kwa umakin zaid, nilipendekeza mpya , & mdhamin yupo ambaye ataweza kukuakikishia uwe & aman kwa ili..
  7. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Ufadhili "Mkataba" wa kusaidiwa pikipiki ya kufanyia biashara ya bodaboda

    Aksante san'NDUGU.
  8. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Ufadhili "Mkataba" wa kusaidiwa pikipiki ya kufanyia biashara ya bodaboda

    Naomba nisaidiweee.. Ni kweli, ishu ni LESENI lkn nina mpango wa kuitafuta & 7bu nina Chert cha mafunzo nitajitaid kwenda kuichukua. Nimekiacha KILIMANJARO
  9. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Je, maji ya baraka yanayotolewa kanisani huwekwa chumvi?

    Chumvi ya aina yoyote;Mawe/Unga [emoji1317]
  10. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Je, maji ya baraka yanayotolewa kanisani huwekwa chumvi?

    Yeah! Kuna maandiko yanayohusu chumvi & Maji.. & hiz habar za chumvi zinapatikana kwenye AGANO LA KALE, Kitabu cha ERISHA..
  11. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu baba anaheshimika picha kama hii si sawa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Ufadhili "Mkataba" wa kusaidiwa pikipiki ya kufanyia biashara ya bodaboda

    Aksante kwa Kugongelea Msumari"JamiiForum",[emoji7][emoji8]
  13. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Ufadhili "Mkataba" wa kusaidiwa pikipiki ya kufanyia biashara ya bodaboda

    Ni kweli sana'NDUGU.. Lkn, safar moja uanzisha safar nyingine & maisha ni kuchagua. Kwa hiyo, nimechagua & ninataka nianze kwa ili la BODABODA & baada ya hapo'MUNGU akipenda kuna vitavyojitokeza kama fursa pia. Aksante sana.[emoji1317]
  14. Mwangah

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima apinga vikali ushoga na usagaji Tanzania

    Kwa hili, halina kutazamia Viongozi wa Dini, kwmb wanatoa neno gani ktk USHOGA.. Hakuna hasiyelifahamu & sio geni kwmb USHOGA ni chukizo ktk Jamii & kwa Mungu. Ni upepo tuu, unapita maana hakuna Jipya chini ya Jua.
Back
Top Bottom