Alifia Roma akiwa Gerezani na aliteswa sana na Kaisari Nero. Ukisoma Timotheo... Hili linaonekana kuwa waraka wa mwisho aliouandika Paulo, na lina kauli ya kuaga ya kusikitisha. Paulo anasema ..Anajihisi "anamwagwa kama dhabihu" na anasema kwamba "wakati wa kuondoka kwangu umefika" (2 Timotheo...
Ikiwa mahakama ilijiridhisha pasipo na shaka kuwa ni mwizi na kila alichofanya alikikamilisha kwa wizi, ni halali asote jera iwe fundisho kwa mijizi yote.
Taarifa kwa uongozi wa CRDB Bank kulifanyia kazi swala hili maana ni kero kubwa sana kwa wateja wenu. Binafsi nimepata usumbufu huu mara nyingi, kukataliwa kufanya direct transfer kwa mawakala wenu kwa kisingizio kwamba hawapati commission yoyote kwa huduma hiyo, fanyeni Uchunguzi mtabaini, kwa...
Read between the line mleta mada Hana hoja ulizo wakilisha... Anaongelea mauaji na utekaji unaokumbatiwa na serikali kwa kuwanyamazisha whistle blowers wadogo kitaasisi. Ni uhuni tu ukweli Samia ka fell big time hana uwezo wa kuongoza nchi.
Sawa pambana ila it wont change the fact kwamba Samia hana uwezo wa kuongoza nchi. Ameshindwa muda mrefu sio makusudi ila uwezo wake wa kufikiri na kuchambia mambo ni mdogo sana. Ana ishi kiswahili Swahili ana deal na pet issue without delivery spirit
Mama kakata tamaa wakati huohuo anahofu na wakati huohuo anajipa moyo she is in mixed feeling mode.... Ila kiukweli siwezi kupoteze kura yangu kuichagua hii shida ituharibie nchi tena. Enough is Enough
Kuna mtu wa G55 aliulizwa maana ya No reform No election akajiuma uma na ukimuona unaweza kudhani huwa ana akili kumbe ni shida tu.
1. Bila marekebisho hakuna uchaguzi ni dhana pana ambayo ina beba jumbe nyingi ndani yake moja wapo ni kudai kuondoa nguvu ya mmoja wa wagombea yaani Rais kuwa na...
Ndio waziri wa ulinzi hata binocular inashikwaje hajui... Kuweka mama zetu kwenye hizi position kiushoga ni janga. Taaluma tu ya kijeshi hana sidhani hata kama alipitia mafunzi ya awali alipoingia kwenye uwaziriwa ulinzi. Ndio utegemee kuona matokeo chanya!! Eeeh Mungu shuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.