Mchakato wa kuwapata wakimbiza mwenge Ni Siri,mafunzo yao Ni Siri,ukiachilia mbali kulindwa kwa umakini mkubwa lakini pia kwa kiasi kikubwa hauwashirikishi wananchi wote,wana ccm wamejimilikisha mwenge wa uhuru,halafu anatokea mtu anasema "mwenge ni wa watanzania".Mwenge unatumika Kama kichaka...
Kwa mazingira tuliyonayo hayaoneshi Kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki.Kinachofanyika Sasa nchini Ni Kama kufanya riadha isiyo na pa kuanzia Wala sehemu ya kuishia,hakuna mwamuzi anayeweza kutenda haki na ndiyo maana watu wengi wanafikiri kwa hakika kuwa JPM atashinda kwa kishindo si kwa...
Kwa nijuavyo Mimi mtu hawezi kuzungumza Jambo pasi na kulifanyia utafiti kinyume chake Ni kujidanganya.Nafikiri mbali Kama watanzania wataamua kipa ccm ushindi wa kishindo hayo Ni maamuzi yao na dunia haitashangaa hata kidogo kwa kuwa dunia kwa Sasa inakimbia kuelekea mapinduzi makubwa ya...
Umeongea vyema mkuu,watu wenye fikra yakinifu na wenye mtazamo chanya tuligundua mapema Sana kwamba hii ni janja ya serikali ya chama Cha mapinduzi kuwahadaa watumishi ambao Kila kukicha hawana matumaini na kesho yao kabisa katika ardhi ya mama Tanzania.Siyo haya tu tunayoyashuhudia, Bali Kuna...
Sawa,lakini nakumbuka mwalimu wangu aliniambia kuwa mpokeaji na mtoaji wa rushwa wote wanamakosa,swali langu je,na yule aliyetoa na yeye amekamatwa au? #Tanzania hakuna haki.
Kwa mwendo huu Kuna watu watahama nchi hii na kubaki wanaimba " Bora kuwa mbwa ulaya" binafsi siungi mkono moja kwa moja hizi zinazoitwa juhudi za kumkomboa mkulima wa korosho kule ntwara.Kwani kesho tu unaweza kusikia majibu tofauti Tena kutoka kwa mtu tofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.