Mkulima aliyeshika Air bus sasa kuilipa Tanzania fidia ya mamilioni ya dola!

diana chumbikino

JF-Expert Member
May 29, 2018
428
368
1567867859278.png

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi amefafanua agizo la Mahakama ya Guteng ya Afrika Kusini lililomtaka mkulima Herman Steyn kulipa gharama za kesi aliyofungua dhidi ya serikali ya Tanzania, hivyo kusababisha ndege ya ATCL kushikiliwa nchini, akisema gharama hizo ni pamoja na za malazi ya mawakili waliokwenda kuendesha kesi hiyo.

Gharama nyingine atakazotakiwa kulipa mkulima huyo ambazo pia zimo ndani ya kesi zilizoelezwa ni zinazohusu usafiri wa mawakili wa serikali kwenda nchini Afrika Kusini, usafiri wa ndani, gharama za mawasiliano yao kuhusu kesi hiyo, gharama za hoteli, chakula, vinywaji na huduma nyingine zinazoendana na malazi ambazo mawakili wa Tanzania walizitumia walipokwenda Afrika Kusini kwenye kesi hiyo.

Dk Kilangi alikuwa miongoni mwa wanasheria wabobezi waliokwenda nchini humo kwa ajili ya kesi hiyo. Alisema jana kuwa amri hiyo ya mahakama ina maanisha kuwa mzungu huyo hatahusika kulipia kitu kingine chochote wala fidia ya muda ndege iliposhikiliwa. Agosti 24, mwaka huu ndege aina ya Airbus 220-300 ilishikiliwa Afrika Kusini kutokana na kesi iliyofunguliwa na Steyn, mlowezi aliyekuwa anamiliki ndege binafsi na mashamba mkoani Arusha, yaliyotaifishwa na serikali miaka ya 1980.

Alifungua madai ya kuzuia ndege hiyo akitaka kulipwa mamilioni ya fedha ikiwa ni malimbikizo ya fidia aliyokuwa akidai na kusababisha ndege hiyo kushikiliwa hadi ilipoachiwa baada ya siku 14.

Baada ya kesi hiyo kun- guruma kwa siku kadhaa, iliamuriwa ndege hiyo iachwe huru na mkulima huyo alipe gharama zote za kesi. Kuhusu gharama halisi ambazo Mzungu huyo atatakiwa kulipa, Dk Kilangi alisema kwa sasa bado timu hiyo inaendelea na mchakato wa kubainisha ni kiasi gani kinachotakiwa kulipwa.

Alisema jamii itaelezwa gharama halisi baadaye. Alisema Mzungu huyo hatawajibika kulipia ghara- ma za hasara iliyotokana na muda wote ambao ndege hiyo ilikuwa haifanyi kazi, fidia kwa abiria, gharama za ndege, uegeshaji wa ndege kwenye Uwanja wa Oliver Thambo wala gharama za fidia ya kuharibiwa kwa haiba ya ndege hiyo. Tangu kurejea nchini kwa ndege hiyo haijasafiri huku Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi akikanusha taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii jana kuwa ndege hiyo imeanza safari kwenda Afrika Kusini.
 
Deni lake la $33 millions analodai limefutwa? Jibu ni HAPANA. Akiamua kwenda hapo London kwenye mahakama ya Kimataifa kuomba Mahakama hiyo imsaidie ili alipwe haki yake itakuwaje? Jibu ndege inaweza KUKAMATWA tena hapo London ili kuhakikisha analipwa haki yake pamoja na interest na penalty.

Hawezi kuziacha pesa nyingi hivyo ambazo mahakama ya Bongo ilishaamua kwamba ni haki yake anastahili kulipwa.

Uhuni wa kudhulumu watu haki zao wengine hawaukubali watapambana mpaka KIELEWEKE.

View attachment 1200862

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi amefafanua agizo la Mahakama ya Guteng ya Afrika Kusini lililomtaka mkulima Herman Steyn kulipa gharama za kesi aliyofungua dhidi ya serikali ya Tanzania, hivyo kusababisha ndege ya ATCL kushikiliwa nchini, akisema gharama hizo ni pamoja na za malazi ya mawakili waliokwenda kuendesha kesi hiyo.

Gharama nyingine atakazotakiwa kulipa mkulima huyo ambazo pia zimo ndani ya kesi zilizoelezwa ni zinazohusu usafiri wa mawakili wa serikali kwenda nchini Afrika Kusini, usafiri wa ndani, gharama za mawasiliano yao kuhusu kesi hiyo, gharama za hoteli, chakula, vinywaji na huduma nyingine zinazoendana na malazi ambazo mawakili wa Tanzania walizitumia walipokwenda Afrika Kusini kwenye kesi hiyo.

Dk Kilangi alikuwa miongoni mwa wanasheria wabobezi waliokwenda nchini humo kwa ajili ya kesi hiyo. Alisema jana kuwa amri hiyo ya mahakama ina maanisha kuwa mzungu huyo hatahusika kulipia kitu kingine chochote wala fidia ya muda ndege iliposhikiliwa. Agosti 24, mwaka huu ndege aina ya Airbus 220-300 ilishikiliwa Afrika Kusini kutokana na kesi iliyofunguliwa na Steyn, mlowezi aliyekuwa anamiliki ndege binafsi na mashamba mkoani Arusha, yaliyotaifishwa na serikali miaka ya 1980.

Alifungua madai ya kuzuia ndege hiyo akitaka kulipwa mamilioni ya fedha ikiwa ni malimbikizo ya fidia aliyokuwa akidai na kusababisha ndege hiyo kushikiliwa hadi ilipoachiwa baada ya siku 14.

Baada ya kesi hiyo kun- guruma kwa siku kadhaa, iliamuriwa ndege hiyo iachwe huru na mkulima huyo alipe gharama zote za kesi. Kuhusu gharama halisi ambazo Mzungu huyo atatakiwa kulipa, Dk Kilangi alisema kwa sasa bado timu hiyo inaendelea na mchakato wa kubainisha ni kiasi gani kinachotakiwa kulipwa.

Alisema jamii itaelezwa gharama halisi baadaye. Alisema Mzungu huyo hatawajibika kulipia ghara- ma za hasara iliyotokana na muda wote ambao ndege hiyo ilikuwa haifanyi kazi, fidia kwa abiria, gharama za ndege, uegeshaji wa ndege kwenye Uwanja wa Oliver Thambo wala gharama za fidia ya kuharibiwa kwa haiba ya ndege hiyo. Tangu kurejea nchini kwa ndege hiyo haijasafiri huku Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi akikanusha taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii jana kuwa ndege hiyo imeanza safari kwenda Afrika Kusini.
 
Chonde chonde tusije rishisha ndeni kizazi kijacho tuepushe chuki ya dhuluma ni mbaya sana
 
Hivi hapa Tanzania kuna mwanasheria mkuu pia!!?
 
FB_IMG_15579830618182786.jpg

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni ,hii ni kutokana na maamuzi ya yeye kulipwa fidia yalifanyika hapa katika ardhi mama Tanzania.
 
Wacha tuhairishe ili deni liwe kubwa zaidi ndipo tutalipa. Ujinga ule ule wa bombadia kule Caada tukakataa kulipa bil 30/= na tukalipa bil 90/=
 
Baada ya kushangiliwa na Chadema kwa muda mrefu aliposhika ndege ya Tanzania ,upepo sasa umebadilika ,Mkulima wa Afrika kusini ameamuriwa na mahakama kuilipa Tanzania mamilioni ya dola ikiwemo mawakili walioenda kuikomboa ndege.

Je Chadema wataendelea kumshangilia hata kwenye hali hii ngumu aliyonayo ya kudaiwa mamilioni ya dola??

======

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi amefafanua agizo la Mahakama ya Guteng ya Afrika Kusini lililomtaka mkulima Herman Steyn kulipa gharama za kesi aliyofungua dhidi ya serikali ya Tanzania, hivyo kusababisha ndege ya ATCL kushikiliwa nchini, akisema gharama hizo ni pamoja na za malazi ya mawakili waliokwenda kuendesha kesi hiyo.

Gharama nyingine atakazotakiwa kulipa mkulima huyo ambazo pia zimo ndani ya kesi zilizoelezwa ni zinazohusu usafiri wa mawakili wa serikali kwenda nchini Afrika Kusini, usafiri wa ndani, gharama za mawasiliano yao kuhusu kesi hiyo, gharama za hoteli, chakula, vinywaji na huduma nyingine zinazoendana na malazi ambazo mawakili wa Tanzania walizitumia walipokwenda Afrika Kusini kwenye kesi hiyo.

Dk Kilangi alikuwa miongoni mwa wanasheria wabobezi waliokwenda nchini humo kwa ajili ya kesi hiyo. Alisema jana kuwa amri hiyo ya mahakama ina maanisha kuwa mzungu huyo hatahusika kulipia kitu kingine chochote wala fidia ya muda ndege iliposhikiliwa.

Agosti 24, mwaka huu ndege aina ya Airbus 220-300 ilishikiliwa Afrika Kusini kutokana na kesi iliyofunguliwa na Steyn, mlowezi aliyekuwa anamiliki ndege binafsi na mashamba mkoani Arusha, yaliyotaifishwa na serikali miaka ya 1980.

Alifungua madai ya kuzuia ndege hiyo akitaka kulipwa mamilioni ya fedha ikiwa ni malimbikizo ya fidia aliyokuwa akidai na kusababisha ndege hiyo kushikiliwa hadi ilipoachiwa baada ya siku 14.

Baada ya kesi hiyo kun- guruma kwa siku kadhaa, iliamuriwa ndege hiyo iachwe huru na mkulima huyo alipe gharama zote za kesi.
Kuhusu gharama halisi ambazo Mzungu huyo atatakiwa kulipa, Dk Kilangi alisema kwa sasa bado timu hiyo inaendelea na mchakato wa kubainisha ni kiasi gani kinachotakiwa kulipwa.

Alisema jamii itaelezwa gharama halisi baadaye. Alisema Mzungu huyo hatawajibika kulipia ghara- ma za hasara iliyotokana na muda wote ambao ndege hiyo ilikuwa haifanyi kazi, fidia kwa abiria, gharama za ndege, uegeshaji wa ndege kwenye Uwanja wa Oliver Thambo wala gharama za fidia ya kuharibiwa kwa haiba ya ndege hiyo.

Tangu kurejea nchini kwa ndege hiyo haijasafiri huku Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi akikanusha taarifa iliyo- sambaa kwenye mitandao ya kijamii jana kuwa ndege hiyo imeanza safari kwenda Afrika Kusini.

Credit: Habarileo
 
Kwaio gharama za parking ya ndege, kuharibiwa jina la ATCL, kuwalaza abiria ndege ilipkamatwa, kucheleweshwa kwa ndege siku zote huko hakuhusiki..ni gharama za malazi, mawasiliano na usafiri wa mawakili waliokwenda na wale waliopo huko? Wakudadavua uje na wale wenzio mliokua kwenye ule uzi wa siku ile mje hapa...
 
Jeshini mkiwa mnasonga mbele kwenye mstari, wakisema nyuma geuka, basi kibao kinageuka. Wakwanza anakuwa wa mwisho.
 
Baada ya kushangiliwa na Chadema kwa muda mrefu aliposhika ndege ya Tanzania ,upepo sasa umebadilika ,Mkulima wa Afrika kusini ameamuriwa na mahakama kuilipa Tanzania mamilioni ya dola ikiwemo mawakili walioenda kuikomboa ndege.
Je Chadema wataendelea kumshangilia hata kwenye hali hii ngumu aliyonayo ya kudaiwa mamilioni ya dola??
Madsi hata ni tishio kwa wawekezaji hivyo hayana afya kwa taifa. Mimi ninauona sawa na mitindo ya uswazi mwetu mwenye nyumba akifunga chumba chako unamgeuzia kibao eti chumbani tulikuwa na cheni ya almasi! TV janja ya milioni 200! Unataka udai na gari lakini unashindwa jinsi ya kuliingiza chumbani.
Maoni tangu ni serikali iachane na uswahili huu ili kujijengea uaminifu kwa wawekezaji kwani hizo pesa nyingi si za kweli.
 
Uswahili upi wa kudai fidia kwa mkulima?
 
Back
Top Bottom