Kabla ya kusema lolote naomba mtaalam yeyote aeleze maana ya23% kima cha chini. Hii 23% itaenda kwa kima cha kati au juu au hao hawaongezewi maana wananchi mtaani wanajua kila mtu anaongezewa 23%. Yaani kama mtu analipwa milioni 10 anaongezwea 23% yake
Kwanza wewe sio mtoto tena. Ni baba. Miaka 41 ni baba mwenye watoto hata 5. Baba yako kauza mali zake kwa raha zake. Wewe tafuta zako ujenge uuze. Amekulea ukafikisha miaka 18 inatosha. Acha akili mgando
Kutokuwa na dini sio kwamba hawaamini Mungu yupo. Dini ni taasisi tu ambazo siku hizi zimekuwa zikichukua pesa kwa waumini hadi anatoka damu. Dini na madhehebu yanatofuautiana taratibu, sala, miongozo, matumizi ya sadaka lakini Mungu ni mmoja na habadiliki. Kuliko kunyonywa hivi ni bora ubaki...
Wala sio shetani usimsingizie. Ni akili za binadamu na muda wake umefika. Kila zama na kitabu chake. Miaka 20 ijayo huenda ushoga usiwepo iwe jambo jingine kutokana na zama za wakati huo. Shetani has nothing to na hizi mambo za ushoga.
Michango mingi na mikubwa isiyokuwa na tija, dini kugeuka kuwa biashara, huduma za kidini mfano mazishi, unatizo kutolewa kwa wanaochanga na kwenda jumuiya. Dini sio Mungu hivyo hao ambao hawana dini still wanamwamini Mungu.
Njooni mniuwe
Ufafanuzi tafadhali. Unamaanisha kuwa kabla ya yesu hapakuwa na kanisa? Na je alilianzisha lini wataki gsni wa umri wake?
Je wale makuhani na wakuu wa masunagogi na hekaluni ilikuwa ni nini.
Mageuzi yapi ndugu. Wewe umeona wanaoajiriwa wawe na elimu gani na pia ulimsikia waziri wao. Unaona ni akili za kubadilika. Kazi ina laanaa.
Uchawi unaanziaga kwenye vitendo kama hivi. Unaloga hadi kizazi chake cha kumi na wote watakaokula hiyo hela
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.