Recent content by Mwande na Mndewa

  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) "Nilitaka kuwa Rais wa kitaalam sio wa Chama,Matokeo yake Mafisadi yakakichukua chama" Hayati Benjamin Mkapa

    Katika ukurasa 203,"My Life,My Purpose"(2019) anasema: "Mwl Nyerere aliniambia 1995 -'Usifanye haraka kumuua chama. Chama ndio nyumba'. Mimi nilitaka kuwa Rais wa kitaalam, sio wa chama. Nikaacha CCM iende yenyewe. Matokeo yake mafisadi wakajenga ngome ndani ya chama" Hayati Benjamini Mkapa.
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wastaafu wa Tiss wamerudishwa kazini?

    Kama ni kweli,kwa nini mstaafu arudishwe kazini,je ni fear of unknown,vipi hatma ya graduate zaidi ya milioni moja wanaomaliza chuo kila mwaka?
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha ujinga nani anacho?

    UCHAWA ni kusifia Ujinga na kuukataa ukweli,nani mwenye kipimo cha ujinga?
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa kwa sasa ni mmoja tu Uchawa.

    Tatizo la kimfumo,makuzi ya kijamaa yamechangia dhana ya uchawa kukua kwenye akili za vijana,sasa zama zinapobadilika dhana ya uchawa inaingia kwenye aina nyingine,kama ni zama za kidikteta basi uchawa utainuka kuutetea udikteta,kama ni zama za Uzalendo,uchawa utainuka kuutetea uzalendo,kama ni...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

    Wewe wasema mwenzio kichwani kwake anataka kuwa Sultana.
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa kwa sasa ni mmoja tu Uchawa.

    JPM alitenda na kuongea ukweli kwa maslahi ya nchi.
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa kwa sasa ni mmoja tu Uchawa.

    Nini maana ya uchawa? - UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha. -UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi?.......Mwanakwetu

    Tanzaniambi uko wapi?
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Lema amefanya jambo jema, japo....?

    Huyu jamaa na Mbowe wanawaangusha sana Kaskazini
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Njaa kali ni shida sana. Yaani mtu analia hadharani kisa hajakaribishwa kwenye meza ya kalamu kipaumbele kilikuwa ni tumbo,nipewe chochote kitu na wakija kwa wananchi wanawadanganya,kila upande focus kubwa ilikuwa ni matumbo yao mkono uende kinywani sio kuwatumikia Wananchi. Na hili limekuwa...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Emmanuel ni neno la Kiebrania maana yake ni Mungu yu pamoja nasi Isaya 8:8

    Manabii walihubiri kwamba nyakati za mbele mataifq yote yamtafahamu Bwana na kumkimbilia Isaya 42:6;45:14
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo adai kupokea vitisho kutoka kwa Mwigulu

    Dah bongo inachekesha sana https://www.facebook.com/share/v/1BSbcPJmY4/?mibextid=wwXIfr Bongo nyoso
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

    Mbagala ya watu kuingilia dirishani kugombania magari Vs Mbagala ya watu kupanda mwendokasi yenye full air condituon,Unasemaje hapo Kafulila,ubora wa watu kuliko ubora wa vitu?
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ishengoma: Maandamano ya Oktoba 29 "Sisi tulichokifanya yalikuwa ni mapinduzi. Ushahidi ninao

    You better warch your back,Dudubaya alishasema huyo ni kijana wa Abdul.
Back
Top Bottom