Fanya mazoezi, kula vizuri, ishi kwa matumaini. R.I.P in advance, ( raha ya milele akupe eeh bwana, na mwanga milele akuangazie, ukapumzike kwa amani,) Amina
Tafuta pesa kama unataka heshima, ndoa inakupa heshima gani kama ni kapuku? Utaishia kudharaulika na mke wako na mwanzo wa kugongewa, na kupata depression, especially kwa hizihizi takataka za kizazi hiki (wanawake) walioendekeza tamaa na kukosa uvumilivu, kutaka maisha mazuri kwa mda mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.