Acha kujifanya nabii kwa mambo yaliyo wazi, jambo la kutafuta pesa kwa ajili ya kampeni liko wazi ktk vyombo vya Habari tangu jana,na EATV watakuwa live kuanzia saa 12:00-1:30 na huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama chetu cha CDM.
Pale hapakuwa na hotuba Bali uzinduzi wa kampeni, pia hotuba si lazima iwe ya Massa kadhaa ndipo iitwe hotuba. Hotuba inaweza kuwa hata ya dk 5 yenye kuainisha malengo ni hotuba bora kuliko hotuba ya masaa iliyojaa uongo na mambo yasiyo tekelezeka.
Nimepigwa na butwaa baada ya kusikia na kuona Mh: Moses Kirufi akitangaza tena kukihama CHADEMA baada ya cku chache zilizo pita akihama kutoka CCM na Leo amehamia A.C.T....kweli siasaaaaa
Mwl J.K.Nyerere mara baada ya Tanganyika kupata Uhuru aliwatangazia Watanganyika wa wakati huo wapatao million nane,Maadui zao wakuu kuwa ni watatu 1~Umaskini 2~Maradhi 3~Ujinga.Mnanikera sana mnao mponda mh; Edward Ngoyai Lowasa kuwa hafai kuwa Rais wa nchi hii kwa hoja dhaifu sana eti Lowasa...
Nakuunga mkono mkuu kwa maneno mazuri na yenye busara, Mimi pia ni miongoni mwa wanao amini kuwa Dr.Slaa yu hai ndani ya CHADEMA ila kwa sasa yuko kwenye mapumnziko ya kifikra,na mda si mrefu atakuja na majibu na kutuonyesha njia ya kuifwata.Naomba tuwe na subra ya kutokuwa na maneno makali...
Tangu nilipo msikia Jana Rais wa chama cha wafanyakazi TUCTA na Mwenyekiti wa chama cha walimu nchini C.W.T.alipo sema "UKIKATA GOGO JUU YA MWINUKO BASI LIKIWA LINAPOLOMOKA KUELEKEA BONDENI BASI UTHITHUBUTU KULIZUIA"Nimebaki nikitafakari kama je CHAMA CHA MWANZO (CCM) wamelisikia na kulielewa!!!!?
bali kuungana na Lowasa kisha wakashindwa ila namuomba kuwa alichokiona hakipo bali ni ushindi kwa Chadema na ukawa kwa ujumla,kwani ukawa bila Dr Slaa ni shida nyingine anapaswa kulijua hilo na kuacha hisia za kushindwa bila kuingia vitani Kamanda Dr .Slaa naomba lejea kambini tuendeleze vita...
Binafsi natambua na kukumbuka juu ya maumivu aliyo yapata,kutokana na jambo hili ila nadhani yeye ni mtumishi wa mungu atutangulize wenzie mbele yeye awe wa mwisho ktk kufanya maamuzi ....Ajue kuwa taifa kwanza sisi baadaye...Bado namuomba ndugu yangu na mpendwa wangu Dr.Slaa lejea kundini,kwa...
Taarifa niliyoisikia kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia Katibu Mkuu wetu Dr Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana.
Kiukweli nimeumizwa na kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa...
Anakaribishwa kwa mikono miwili katika jeshi la makamanda wanaojitambua....ila sababu zakuhama ni za kitoto sana huku atabaki kuwa mwanachama na hana sifa za uongozi kwakuwa katoa sababu za hovyo zisizo na mashiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.