Recent content by MWANAWIMA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Jumamosi iliyopita nilifanikiwa kufika Tanchoice. Asante Reymage, Sley na wengine wote kwa kutiana moyo. Kwa swala la upokeaji wa mzigo hadi upimaji sikuona shida yoyote. Nilikabidhi mzigo wangu alfajiri j.mosi. Utambuzi wa mifugo kulingana na alama za kila Supplier ulianza mida ya saa 1...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Asante kiongozi. Nilifanikiwa kuwasiliana na Agent wa Tanchoice Nzega. Mambo ni mazuri. Kama ulivyoelekeza bei ya sasa Tanchoice ni 12,000 per kg
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Sawa kaka. Nakusubiri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Asante sana Kiongozi. NIko serious na hii business. Kama hutajari naomba tuwasiliane kwa 0764980843. Nahitaji kujifunza zaid.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Mzoefu please tusaidieni hali ya soko kwa sasa lipoje hapa nchini.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Minada ya Mbuzi na Kondoo kwenye mikoa hii

    Karibu Shinyanga. Minada ya Old Shy kila j.mos, Muhunze/kishapu kila Alhamis, Buhangija coner J.tano, Tinde J.tatu. Ninao mbuzi karibu tuzungumze 0764980843
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Sijafahamu wanafanyeje hasa. Ingawa nilipata taarifa kuwa Tan choice na Ynion meat Group wana mawakala wao. Hivyo ukitaka kuwauzia inabidi ukaombe kuwa supplier wao wakupe specification zao kisha hao mawakala ndio watakuwa wanakufuata kujakuchukua mzigo kulingana na spevifivation ulizopewa. Na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua Viwanda vya nyama ya mbuzi vinavyopatikana kanda ya ziwa

    Kaka habari. Hoja yako ya soko la mbuzi a.k.a vipi ulifanikiwa unisaidie pia uelewa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua Viwanda vya nyama ya mbuzi vinavyopatikana kanda ya ziwa

    Kaka habari. Hoja yako ya soko la mbuzi a.k.a vipi ulifanikiwa unisaidie pia uelewa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Update please, biashara ya mbuzi kwa sasa ipoje? Bei ununuaji mnadani? Bei kiwandani? UPatikanaji? Usagirishaji?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani anapatikana kwa kura za wananchi, sio deep state

    Hujaeleweka boss. Hizi Aina mbili zinafanyaje Kazi ili mgombea awe Raisi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Hongera KWA kufanikiwa kufika kiwandani. Naomba kujua kama ulifanikiwa kufatilia je! Hadi sasa BADO wanapima nyama tu na vitu vingine kama Ngozi, matumbo na kwato hawamlipi Supplier? Vipi kuhusu bei za MBUZI kama zamani 2021 alipotoa hoja hii Mr Jabel ilikua Kati ya 30-70 je! KWA SASA hali bei...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Muungwana na mwenye mapenzi mema na watu aliweka wazo la Biashara hapa na mchanganuo wake ili atakayeona linafaa alifanyie Kazi. Hoja yangu kwako kama na wewe ni muungwana weka hapa mchanganuo wa biashara yako hiyo yenye faida kubwa ya zaidi ya 360k KWA wiki mbili, unaweza ponya wengi. Karibu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Asante. Aliyefanya utafiti kea sasa stupe update hali ya Biashara hii ikoje?
Back
Top Bottom