Recent content by mwanawahaki

  1. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA wilaya ya Karatu yavamiwa na kufungwa

    Unashangaa kuona vijana jasiri wa chadema?.mbegu ya Dr.slaa wala hawanaga woga kuwajibisha wafalme wa chama
  2. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA wilaya ya Karatu yavamiwa na kufungwa

    Kikundi cha vijana zaidi ya 30 wa chadema wamevamia ofisi ya chama wilaya nakuifunga.vijana hao ambao wengine walidai kuwa ni viongozi wa wilaya walitoa sababu ya maamuzi yao kuwa ni kuchoka kutumia chumba kimoja cha kupanga hali inayosababisha kufanya vikao wakiwa wamesongamana lkn pia wanapata...
  3. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Naomba makamanda wenzetu muelewe hiki sio kipindi cha kawaida (Awamu ya tano)

    Namkubali sana Mh.Raisi.kwa mambo mengi ila kwa mengine kama uonevu huu wa kidemmokrasia ya wazi siko naye....Nimeanza kupata hofu kama kwa mti mbichi(wenye pesa na umaarufu) ndiyo hivi je kwa mti mkavu kama mimi itakuje?..Najiuliza kwa sauti ya chini
  4. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Ushauri: BAVICHA waendelee kuisaidia jeshi la polisi

    Msisahau suala la ugaidi mapangoni na mauaji ya tarime, uporaji wa mali za wapiga kkura, hakika jamii itawadhamin sn, hasa mkiwakamata wauza mihandarati na kuwakabdhi polisi
  5. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Ushauri: BAVICHA waendelee kuisaidia jeshi la polisi

    Kama kweli Bavicha wanawapenda wananchi na kuwa tetea, na wanaipenda amani ya nchi basi waisadie polisi si tu kuzuia vikao vya ccm ambayo hayana madhara bali ujambazi unaotoa uhai wa hawawwnaodai kuwa kwa kufanya hivo wanawapenda
  6. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Ushauri: BAVICHA waendelee kuisaidia jeshi la polisi

    Ndugu wanaJF, Kwakuwa siku za hivi karibuni vijana wenzetu BAVICHA kujitolea kuisaidia Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake kwa gharama zao, binafsi naona ni nia njema, uzalendo na wapenda amani. Naomba BAVICHA wasivunjike moyo baada ya kuzuiwa na Mwenyekiti taifa wasitekeleze azma hiyo...
  7. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania UKAWA umebaki kuwa ukiwa! Kuntu Kikwete

    Great thinkets,think big! Wadau,kwanza kabisa niweke wazi kuwa mimi si mpiga vigelegele vya chama chochote. Ukiangalia kwa makini saikologia za watu huwa zinafanana wakiwa kwenye kikundi flani mfano mashabiki wa timu za soka,hawa pia hutofautiana na kikundi kingine cha aina hiyo kwa...
  8. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuizidi Kenya kiuchumi kwa 20%

    Great thinkers, Historia ya kisiasa ya Tanzania na majirani zetu Kenya,mara tu baada ya uhuru inaonesha kuwa kenya haikulenga ktk kujenga umoja,utu na uzalendo bali ilijkita katika kujenga uchumi imara,elimu bora na huduma za afya huku wameacha jamii ikiwa imegawanyika kikabila,ufisadi na...
  9. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Bashe: CCM ni waoga, wanafiki na wa kujipendekeza, hatuna sababu ya kuendelea kubaki madarakani

    Kama Bashe kwa utashi wake ameliona hilo kuwa ccm iondoke madarakani basi aonyeshe kwa tendo hatua hiyo kwa kujiuzulu ubunge na kumwachia mgombe wa upenzani jimbo lake,la sivyo aache kelele zake hizo.
  10. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mageuzi na mapinduzi

    Wasalaam, Kwa wale wajuzi wa mambo,naomba ufafanuzi wa kisiasa kuhusu maana ya maneno "mapinduzi" na "mageuzi",kama yanavyotumiwa na CCM=chama cha mapinduzi na NCCR-MAGEUZI.
  11. mwanawahaki

    JamiiForums Tanzania Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

    Makonda ni vizuri angetuma mwakilishi,hata kama hahusiki na kifo kile,kwani familia tayari ilikuwa na maumivu ya kutumbuliwa
Back
Top Bottom