mwanawahaki
Member
- May 27, 2016
- 11
- 4
Ndugu wanaJF,
Kwakuwa siku za hivi karibuni vijana wenzetu BAVICHA kujitolea kuisaidia Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake kwa gharama zao, binafsi naona ni nia njema, uzalendo na wapenda amani.
Naomba BAVICHA wasivunjike moyo baada ya kuzuiwa na Mwenyekiti taifa wasitekeleze azma hiyo, nawashauri sasa kwa nia ile ile, nguvu ile ile, ushawishi ule ule, na gharama ile ile tuendelee kuisaidia polisi kufanikisha majukumu yake ambayo mengine yalisababisha mikutano ya hadhara kuzuiwa, ili tukifanikiwa wasiwe na sababu ya kuzuia mikutano yetu.
Maeneo tata ya kuisaidia ni:
1.Kuzuia ujambazi na ugaidi maeneo ya milima ya Mwanza na mapango ya Handeni.
2.Kuzibiti mauji ya watu wasio na hatia mikoani hasa mara.
Endapo tuitokea kusaidia polsi katika eneo hili, tutakuwa tumejipambanua kuwajali wananchi, kupenda amani na usalama wa jamii, nadhani jamii itatuona twafaa zaidi kuliko kuandamana vichochoroni.