mwanawahaki
Member
- May 27, 2016
- 11
- 4
Wasalaam,
Kwa wale wajuzi wa mambo,naomba ufafanuzi wa kisiasa kuhusu maana ya maneno "mapinduzi" na "mageuzi",kama yanavyotumiwa na CCM=chama cha mapinduzi na NCCR-MAGEUZI.