Recent content by mwanausangi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

    dah aisee ni balaaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela

    vipi kuhusu mali sasa ie assets na fedha?vipi wamemfilisi au akitoka jela anakuja kuzienjoy?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje aibwaga CHADEMA Mahakamani kwa hoja

    hahahah we mama banaa!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kibatala amhoji Nusrat Shabani Hanje kesi ya Wabunge 19 wa CHADEMA

    Kweli kuna wahenga walisema kila jambo lipe muda(muda huwa ni jibu sahihi kwa kila jambo)hakika mafuta na maji vimejitenga!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mdee na wenzake: Shahidi Nusrat Hanje amuomba Jaji warudi kwenye Vikao vya CHADEMA wakayamalize

    mkuu leta basi mtiririko wa mahojiano hayooo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Msukuma amkosoa Godwin Kunambi kwa kujenga hoteli na Soko la Ndugai, miradi ya hasara tupu!

    HAHAHA!na ishu ya soko ameipangua vipi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM badala ya kusikitika wao wanacheka tu

    MAJINGA HAYOOO
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Wabunge 19 waliotimuliwa CHADEMA yaendelea Mahakamani

    Mkuu, Tuleteeni mtiririko kama kesi ya mbowe
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

    anamueka mwanao
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    hivi mnavyosema Yanga inununua mechi ndo inashinda!nakua sielewi kabisaa!maana nyie MAKOLO mnasema yanga haina hela, hapo hapo mnasema inanunua mechi??ina hela gani za kununua mechi 45??je na MAKOLO pia tuliwanunua tunavyowafunga??
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Hao mashabiki uchwara tuuu!mashabiki walioijua yanga kwenye kideo cha azam ndo wanaropokaropoka!ila mashabiki tunaoijua yanga na kujua mpira!tunaelewa soka lina matokeo matatu!hakuna jipya
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

    NABI yupo sanaaa!!
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    MAYELE waweke haoo kama alivyofanya canavaro 2014
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    watakufa haooo!wanasumbua mahakama tuuuu
Back
Top Bottom