Recent content by Mwanaume

  1. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

    Kwani baada ya kukosa pesa za MCC unaionaje mirafi ya REA. Kwetu REA. III ilikuwa ikamilike 2017 April. Leo hata alama za nguzo zilishaliwa na mchwa na hakuna kiongozi yeyote anathibutu kuzungumzia kilichotokea.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

    Elitwege, Wanaomtaka Ndalichako ni wanaccm wenzako na siyo wananchi wa Kigoma kama unavyodai. Wananchi halisi wa Kigoma wanajitambua na hawawezi kuwa mawakala wa chama cha wabakaji wa demokrasia na haki za kiraia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Rais anafitinishwa hivi hivi - Usajili wa laini simu usilete chuki

    Rais angekuwa serious kama.badala ya kuwaagiza TCRA wafunge line ifikapo 21/01/2020, angeanza kuwaagiza Nida wahakikishe ama wametoa vitambulisho vyote ama namba kabla ya tarehe hiyo. Nimetoka Nida wilaya yangu, nikaambiwa kwamba niwe tu mpole kwa sababu ndio kwanza wanamalizia kupiga picha na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunapoanza Mwaka wa Uchaguzi 2020; Tuanze na Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Kufungua Njia.

    Tatizo ukiwa kwenye kile chama chetu, hurusiwi kutumia akili yako hata kama unayo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Part 4: TISS bado safari ngumu

    Uko sahihi. Wapo pia wafia chama japo pia walio serious ila wanabezwa. QUOTE="Masanva Aya, post: 32864294, member: 381268"] Mimi nimeanza kujua maana ya TISS miaka ya hapa baada ya Baba wa taifa kututoka, kabla ya hapo, hawa watu huwajui ila wapo, na cha ajabu siku hizi wanatajwa hadharani na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wote mliokuwa mnatumika kulihujumu Taifa kwa kigezo cha kupambana na Serikali mnafahamika,muda umewadia muwajibike

    Ndicho wanachojua, hawana maarifa mengine zaidi ya hilo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu

    Uamuzi wa jaji haupimwi kwa hisia Kama unavyodhani, Bali kwa misingi ya sheria inayodhihirishwa na kanuni kuonekana kweli haki imetendeka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waingia mtegoni kirahisi, itawagharimu

    [Sina uhakika kama kuna tamko rasmi LA chama dhidi ya mkutano wa Jpm na viongozi wa dini. Nilichokiona mm ni reaction ya wachsngiaji. Ambacho kwa kweli ni kitu chema kwa viongozi wa wanaopenda kujitathmini.="Per Diem, post: 30144195, member: 482519"]Naona wote mmeingia mtego mmoja! Hivyo ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu!! Usalama wa Taifa wanaamini Rais huchaguliwa na kamati ya CCM na si wananchi

    [Ni wa ccm pasipo na shaka yoyote UOTE="Northman, post: 30106160, member: 405509"]Hivi hawa usalama wa taifa bado ni usalama wa taifa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando amepotosha umma kwa kudai CAG hana kinga ya kutohojiwa na Kamati ya Bunge

    Kusems tu.binge ni dhaifu katika professionalism haina maana ya.kulidharau bunge. Ni tafsiri ya jinsi linavyotekeleza wajibu wake katika kuisimamia serikali na matumizi ya umma
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

    Huyu Dada kumnanga in kumwonea. In kondoo tu was kafara. Japo najua Luna watakaosema kwamba hakutoa ushauri sahihi kwa wafanya waamuzi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Wanaodhani nitarudi CCM wanapiga porojo na kuota ndoto

    Na jimbo la Buyungu mkoani Kigoma lina waluteri na wachaga wengi? Achanane na hisia za ukanda na ukabila.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mliozuia mikutano ya vyama vya siasa na Bunge live mjipime upya

    Hizo ndege atapanda maskini huyu huyu tunayemjua? na hivi viwanja ni pamoja na white elephant ya Chato international airport?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii mitandao ya simu tunasalimika?

    Jamaa yangu mwenye simu ya airtyel 078... simu yake tarehe 16/8/2016 iliingiliwa na wahalifu wakitumia particulars za usajili walizozipata kwa njia ya kihalifu. Wakaitumia simu hiyo kwa uhalifu kwa kutaka kuibiwa watu. Haijulikana walifanikiwa kwa kiasi gani. Lakini siku mbili baadaye watu wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuzuia maombi ya kiroho juu ya afya ya Tundu Lissu ni kujitafutia laana

    Na bado, wasipofanya haraka kutubu hakuna alama yoyote ya kazi watakayofanya ikaonekana. Mungu hadhihakiwi na anauchukia sana unafiki na udharimu.
Back
Top Bottom