Recent content by MWANAUME UGOKO

  1. MWANAUME UGOKO

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    toka uanze huu uzi nilikuwa bize na uvuvi nimekuja wanajamvi,like moja samaki mmoja.karibuni
  2. MWANAUME UGOKO

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine iliingiza askari 30,000 wengi wao ni france uk na romania ila wao wakatangza ni 10,000 pia hapo katikati waliongeza nguvu nyingine
  3. MWANAUME UGOKO

    Je, Israel ya sasa ni Taifa teule la Mungu au ni propaganda tu za kanisa?

    Samahani mkuu Yahwew si JEHOVA kwa kiswahili bali hili jina lilianza kutumiwa na msomi mmoja wa kidini enzi katika kutafuta jina halisi la Mungu,kwani musa alipomuuliza Mungu jina lako nani alilishusha jina Lake katika maandishi ya herufi 4 zisizo na viunganishi,EL ni jina halisi laMungu kwa...
  4. MWANAUME UGOKO

    Wapalestina na mabosi zao wasitishie watu na harakati zao za juzi. Myahudi ameundwa katika harakati zaidi ya miaka 1000

    Natamani jamii forum wengine wpunguzwe wabaki wenye uelewa na fikra huru kama wewe....hongera kwa msaada wako na si hao washabiki
  5. MWANAUME UGOKO

    Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    ISRAEL ni taifa teule na takatifu mbele za Mungu ila waisrael halisi makabila 10 walichukuliwa utumwani na hawajarudi waliobakia ndo hao asili ya Ethiopia ila uwaonao akina Netanyahu ni wahuni tu waliletwa pale na mawakala wa shetani wala sio waisrael
  6. MWANAUME UGOKO

    Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Huwezi kufundisha mbuzi kucheza mziki....watu wengi ni wajinga mno wao hushabikia Israel wakijua ndo Israel ya musa...hutaweza kuwafundisha wakaelewa maana hawajafunuliwa na Mungu
  7. MWANAUME UGOKO

    Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

    Rafiki yangu usisome habari za vitabu vya kimagharibi na ukaweka kichwani Kwa gundi.....aliemaliza vita ni Russia,pindi vita ndo inaenda kutulia USA ndo akadondosha nuke,pia kumbuka awali lengo halikuwa kuzidondosha japan.
  8. MWANAUME UGOKO

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hak Hakuna kitakachobadilika mfa maji haishi kutapatapa,misaada mingapi ilikuja Kwa mbwembwe.Marekani anajivua nguo mwenyewe Bora aibu ndogo kuliko kung'ang'ania ukaishia kupata aibu zaidi
  9. MWANAUME UGOKO

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia hii vita ameendelea kuongoza Kwa point nyingi sana,anapigana na NATO Kuna maafisa wengi sana Toka ufaransa,USA,UK na poland
  10. MWANAUME UGOKO

    Ufafanuzi wa uumbaji na kilichotokea

    Samahani sijajua uwezo wangu wa kufikiri umepungua au ndo matokeo ya January...sijaelewa chochote
  11. MWANAUME UGOKO

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Si kwamba tu umesoma hata upeo pia umejaaliwa
  12. MWANAUME UGOKO

    Putin achimba biti kwamba Leopard 2 na Abraham haziwezi kubadili kitu Ukraine

    Hii vita ni kati ya wana wa mungu na shetani na washirika wake....tuupinge ushoga bila ya kujali dini zetu....kumwaga damu hata wana wa Israel walimwaga sana damu walipokuwa safarini na baada ya kufika
  13. MWANAUME UGOKO

    Kwanini Ufaransa inafukuzwa Afrika?

    Ufaransa, Belgium, Canada na USA ndio chanzo cha umasikini wa Afrika wanafadhili ugaidi na kuwafadhili viongozi mbumbumbu wenye kuitikia ndio ndio ndio mkuu ili wapore vyema rasilimali.
Back
Top Bottom