Recent content by MwanaUkerewe

  1. M

    Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

    Changamoto hiyo ipo pia wilaya ya ukerewe labda kwakuwa ni kisiwa viongozi wetu wanaogopa kuvuka maji lakini tunawakaribisha waje kututembelea mara kwa mara nasi tujivunie uwepo wao
  2. M

    Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

    Sehemu nzuri ya kuishi ni ukerewe Hali ya hewa safi Ukarimu kwa wageni Mandhari ya kuvutia Samaki wa kila aina Vivutio vya asili kama jiwe linalocheza Maji ya ziwa victoria Viwanja vya kuishi na mengine mengi Karibuni ukerewe
  3. M

    Mara (na maeneo jirani): Muda wa saa 4:47am tetemeko limepita

    Mwanza hapa limepita ila halikuwa kubwa sana hivyo hakuna madhara yoyote yaliyotokea.
  4. M

    Kalemani/ Byabato anzeni na Meneja wa TANESCO mkoa wa Dar es Salaam

    Akimalizana na huyo amgeukie Manager wa TANESCO wilaya ya Ukerewe. Tangu juzi usiku wilaya nzima ipo gizani ndo wamemaliza kuuleta saa moja hii ya jioni. Yaani siku mbili mfululizo wilaya haikuwa na umeme Kiasi kwamba shughuli zote zinazotegemea nishati ya umeme zilikwama na kufanya watu...
  5. M

    VIDEO: Ukerewe kumenoga

    Ukerewe ni wilaya kubwa ina kila kitu. Karibu sana
  6. M

    VIDEO: Ukerewe kumenoga

    Karibu ukerewe
  7. M

    VIDEO: Ukerewe kumenoga

  8. M

    GE2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

    Kila mmoja wetu kwa nafasi yake na imani yake aliombee Taifa, uchaguzi huu ufanyike kwa amani na mambo kama haya yasijirudie tena
  9. M

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Nani kuibuka kidedea kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la ukerewe. Mchakato wa upigaji kura umemalizika na sasa kinachosubiriwa ni wagombea kusaini matokeo na mshindi kutangazwa. Taaarifa zaidi kukujia hivi punde UPDATES aliyepita kura za maoni...
  10. M

    Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Jumla ya visiwa ni 38 kati ya hivyo,15 vinatumika kama makazi ya kudumu ya watu. Vilivyosalia baadhi vinatumika kama makazi ya muda kwaajili ya shughuli za uvuvi na vingine ni vidogo vidogo havikaliwi na watu
  11. M

    Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Ndio, baiskeli zinapatikana kwa wingi kama sehemu ya kurahisisha usafiri
  12. M

    Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Hapana, ni mwandishi wa habari aliyefika kujionea maajabu ya 'Nyabhurebheka' jiwe linalocheza
  13. M

    Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Katika wilaya ya Ukerewe,Ni kweli nakiri wazi kwamba hizo imani zilikuwepo lakini baada ya muingiliano wa watu kutoka makabila tofauti tofauti, imani hizo zimepungua kwa asilimia kubwa kama siyo kutokomea kabisa. Nikuhakikishie tu kwamba kwa sasa hali ni shwari, watu wako bize zaidi kuchapa kazi...
Back
Top Bottom