Recent content by mwanatanu

 1. mwanatanu

  Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

  Huenda unayosema ni kweli,maana kwanza mwanasiasa yeyote anapotoa hoja kwa mwamvuli wa aidha Mungu au Uzalendo...basi mimi napata shaka. Kama hawa GFI kweli wakipiga hizo pesa na ni wakati wa hayati Magufuli ? Basi ni lazima wizara ya nishati wawajibishwe kwa huo ufisadi. Na kama hawa wabunge...
 2. mwanatanu

  Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

  Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa muda wa miaka 6. Mimi kinachonishangaza anamsifu waziri Kalemani na wakati wote huo wa miaka 6 GFI...
 3. mwanatanu

  Tujikumbushe shule ya sekondari Tosamaganga

  Sikakuekewa “Malezi” ndo nani
 4. mwanatanu

  Tujikumbushe shule ya sekondari Tosamaganga

  Ndugu tafadhali natafuta namba ya simu ya hapo Tosamaganga sec school. Namba listed kwenye mtandao haitumiki
 5. mwanatanu

  Rais Samia, kuna Fursa nyingine huko 'Kazungula Bridge'

  Lord ushauri wako ni mzuri sana ingawaje uzi kama huu wa maono ya maendeleo unakuwa na wachangiaji wachache. Lakini hao wachache walopitia nadhani kama vile Mbunge Shabiby leo kalizungumzia sana suala la bandari kavu. Naye Naibu Spika Tulia amelisemea barabara ya TANZAM na reli ya TAZARA...
 6. mwanatanu

  Ukinipa masaa sita ya kuukata mti, nitatumia masaa manne ya mwanzo kunoa shoka!

  Asante Mkuu kwa maelezo yako mazuri na nategemea watanzania ambao wenye uzalendo wataelewa....Kama ulivyosema hapo mwanzo adui mara nyingi anapenyeza palipo na ufa. Sasa ukiona viongozi hawakemei au kuzuia ubaguzi unaojengeka TZ basi tuendako ni giza....nimesikia kauli za wazi kwenye mikutano...
 7. mwanatanu

  Msimamo wa Dr Mpango ndio walichokikosa wasomi wetu

  Kweli kabisa Dr Mpango alijilipua yaani alikuwa amekasirika sana hata ukiona video ile anaongea mpaka unaona mshipa juu ya jicho la kulia lacheza. Nadhani ingawaje dhana ni mbaya lakini jinsi alivyoongea kwenye clip na kusema yuko tayari kujiuzulu kuna kitu nyuma ya pazia ambalo limemkera sana...
 8. mwanatanu

  Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

  Ndugu Pascall kuna swala zito zaidi ya ukwepaji kodi ambalo hata magazeti ya leo hayakuandika.......Rais amedai au tuseme amebaini kuwa Makonda ametumiwa na matajiri kuleta huo mzigo kwa mgongo wa waalimu. Swali Je si ametumia cheo chake kutumika kuingiza mzigo na kutaka kukwepa kulipa kodi???
 9. mwanatanu

  Kwa mwendo anaokwenda nao Rais Magufuli, upinzani unakufa kifo kitakatifu.

  Mkulu mimi nadhani wengi wetu hatuelewi maana ya kuwa na vyama upinzani vya kisiasa. Unasikia mtu anasema amehama chama kwa sababu kiongozi fulani amefanya vizuri. Leo nilikuwa nasikia bbc world service wakiwahoji wa zimbwabwe walioko Harare,South AFrica na London.....kuna dada mmoja ameongea...
 10. mwanatanu

  Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

  Mkuu katika post zote karibia asilimia 80 wame attack Zitoo personality na hakuna hata mmoja amejibu hoja.....Hii inadhihirisha tuna taifa la kujikomba kweli
 11. mwanatanu

  IRINGA: Mbunge Peter Msigwa akamatwa na Polisi baada ya kumaliza mkutano wa hadhara

  Mkuu Adolph kuna kitu kikubwa kinakuja.....Jiulize tangu Magu kaingia madarakani anahubiri amani amani ...kwa nini? nchi yetu tumepata uhuru kwa amani tunaishi kwa amani kwa nini yeye kila wakati anahubiri amani???? Tangu Magu ameingia madarakani amefanya vyama vya upinzani ni adui wa nchi...
 12. mwanatanu

  Muro: Mhe. Msigwa heri ungekaa kimya CCM ndiyo imelipa gharama ya ndege kutoka Dodoma kwenda Kenya

  Anategemea kupewa shavu kama alivyotabiri Muro anayejiita nabii....siklilza sifa zake kuanzia 8min kwenye hii clip
 13. mwanatanu

  Tujipange: Kutaifishwa mzigo wa almasi Airport ni mwanzo wa vita ya kibiashara kati ya Tz na De-Beers

  Mkuu asante Kwa nondo naomba nikuulize hivi ile familia ya Dan Gertler nawo ni kama vibaraka wa De Beers????? Kama si hivyo mimi nafikiri huyu jamaa Dan Gertler is new kid in the block nasema hivyo kwa sababu inasemekana mzee Kabila aliwahama wayahudi na kufanya biashara ya diamond na...
 14. mwanatanu

  Swali kwa Mwakyembe: Ina maana alilidanganya Taifa juu ya Richmond? Ukweli upi atauleta ulio kweli?

  Masikini Mwakyembe na sasa anatekeleza ya bosi wake ya kumlinda Bashitee
 15. mwanatanu

  Agony of investor as bank auctions Sh5 billion hotel

  Miafrika bwana chuki na uhasidi ndio maana tumepewa ngzoi nyeusi na roho zetu nyeusi....sasa huu jamaa kama kachota hela huko katuletea hapa na ku create ajira ya watanzania.....Vikings wanasifiwa kwa vile waliiba mali nchi za watu nakupeleka kwao na waingereza waliopeleka rasilimali zetu nying...
Top Bottom