Naic hata hon.j makamba alitaka onesha ukomavu wa kisiasa na kutuwakilisha vyema vijana bila kujali itikadi ya chama ila akabadilishwa mwelekeo baada ya kupewa u naibu waziri..........:mad:
Ndugu wana JF,
Kwa upande wangu nimemchagua ndugu JJ MNYIKA kuwa mwanasiasa wangu wa mwaka 2012 kwa kuwa ameonyesha ukomavu wake mkubwa kwenye siasa na kuwafikia wananchi wake kwa karibu na kutambua matatizo yoa na kuwapigania pia mfano mzuri ni kuhusu hujuma za TANESCO na lile la kiwanda cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.