Recent content by mwanasiasahalisi

  1. M

    Car4Sale Noah Old Model inauzwa

    Wakuu, Nina gari yangu hii naiuza bei poa kabisa bado mpya ni Noah SR 40..! Bei Milion 11 na nusu tu.
  2. M

    Mama Irene Uwoya aangua kilio kikali kwa kufiwa na 'mkwe wake kipenzi' Ndikumana

    Asa hii akiiona Dogo wa Ngarenaro atajisikiaje?
  3. M

    Godfrey Gugai ajisalimisha TAKUKURU, kufikishwa mahakamani kesho

    Godfrey John Gugai, Aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), amejisalimisha mwenyewe katika taasisi hiyo ikiwa ni siku moja imepita tokea TAKUKURU watangaze dau nono kwa atakayempata.
  4. M

    Afande Sele V/S Mrisho Mpoto Nani yuko sahihi?

    Kama mmefatilia sana akaunti za Instagram za Afande Sele baada ya hukumu ya Lulu kutoka ni mtu ambaye dizain anamlaumu Marehemu ‘Kanumba’ kuzama kwny dimbwi la mapenzi na binti mdogo ‘Lulu’ ambaye anasema kwa kupindi kile alikua mdogo sana. Upande wa Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ dizain kama kamuwakia...
  5. M

    November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

    Walianza kutangaza Clouds kuwa Ruge atakua Live kwny vyombo vyao ndo hao TV E wakafuata..! Na hio tarehe 25 toka wiki iliyopita Clouds wanaimba kuwa Fiesta Dar wao wametangaza leo tamasha la bure tar 25 unahisi nani mchokozi?
  6. M

    Tetesi: RC Makonda awagomea Clouds leo

    Nasikia leo team ya Clouds FM kama ilivyo kawaida yao ya kwenda ofisi za Wakuu wa Mikoa kukaribisha Msimu wao wa Tigo Fiesta so baada ya kufika kwa Makonda wakakuta waandishi wengine wanasubiri Press yake ambayo aliita kuwafahamisha uwepo wa Meli kubwa inayotegemea kuja siku zijazo kwa ajili ya...
Back
Top Bottom