Recent content by Mwanasheka

  1. M

    Naitafuta FURAHA niipate wapi mie Jamani.

    Nashukuru kwa ushauri rafiki nitaufanyia kazi.
  2. M

    Naitafuta FURAHA niipate wapi mie Jamani.

    Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week...
  3. M

    Msaada hospitali nzuri ya masuala ya uzazi

    Huenda ni wewe ndio mwenye matatizo na sio mke wako...kaka umeshafanya vipimo wewe mwenyewe kwanza?
  4. M

    Watu wanaopenda kukaa chooni muda mrefu: Ushauri plz

    Mimi pia hupenda kukaa chooni zaidi ya dakika 15 karibu kila siku hasa nyakati za asubuhi nikitoka kitandani na jioni mara chache. Na huwa nakaa nikiwa katika choo cha chumbani kwangu tu, nikisafiri au nikienda ugenini SIWEZI KABISAAA. Tabia yangu ni kama ifuatavyo...nikiamka tu kitandani huwa...
  5. M

    madaktari muhimbili WACHAFU

    Wawezeshwe....wanunuliwe ufagio na ndoo za kufanyia usafi.
  6. M

    Mganga wa Kienyeji Oysterbay

    Hivi kwa nini waganga wa kienyeji a.k.a wapiga ramli hawafungui/hawajengi ofisi zao maeneo ua Upanga, Masaki,Oysterbay? Wengi wao utasikia wako Mbagala,Buguruni..why?
  7. M

    msaada tafadhali,kuhusu kipimo cha H2G,

    kinaitwa HSG..Kinauma balaaaa so get prepared.Ni kipimo cha kuangalia mirija kama imeziba au ina kasoro yoyote au lah..Maumivu yake usipime mwanawane tena ukikuta mpimaji wa jinsia ya kiume acha kabisa maana ukimwambia naumia hata hajali..Wishing u luck and baby dust.
  8. M

    Mtu anapona ukimwi kwa njia ya miujiza ? Ndiyo.

    Kama TASA na WAGUMBA wanapata watoto kwa jina la Yesu Kristo sembuse kupona UKIMWI. Kwa Yesu kila jambo linawezekana. Yeremia 32:27..Tazama mimi ni BWANA,MUNGU wa wote wenye MWILI: Je! kuna neno GUMU lolote NISILOLIWEZA?..Barikiwa
  9. M

    Kutokwa na damu nyingi

    Pole sana nishazitumia hizo dawa najua kasheshe yake..Pole sana mie sikubahatisha nilitumia for 6 months. Jaribu nawe mwenzangu Mungu wetu ni mwema sana atakusaidia..maana kuna wengine wakinywa mwezi 1 tu wanapata mimba. Mie bado nahangahika miaka sasa sijakata tamaa.
  10. M

    Mgeni kaja

    Habari zenu waungwana....
  11. M

    Kuvimba mdomo

    minyoo hiyo nenda hospital ukapime...au kama unaona noma kutoa 'nya' yako kwenye kiberiti nenda pharmacy kajieleze watakupa dawa.
  12. M

    Nafadhaika pasi kujua maradhi

    Nakushauri upime HIV...ni ushauri tu kaka yangu usishtuke sana.Ijue afya yako
  13. M

    Msaada wa Haraka wakuu

    Inawezekana kabisa..
Back
Top Bottom