Recent content by Mwananzengo50

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

    Your take is nonsense, try not to expose your nonsense to the public, acha vijana wa bavicha ndio waendelee kujua udhaifu wako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani wawili wa CHADEMA Shinyanga wajiuzulu

    Chadema imekufa tayari,wewe endelea kujiziba ufahamu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani wawili wa CHADEMA Shinyanga wajiuzulu

    Chadema inakufa halafu wewe unajiziba fahamu kama Yeriko!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayeona Posho Bunge la Katiba haitoshi, afungashe Virago!

    Ha ha ha Lema sijui ana hali gani kwa posho kupigwa pini, manake yeye ndio rais wa posho!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe Bunge la Katiba avuliwa uanachama Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) Zanzibar

    bado upinzani haupo makini nchi hii!
  6. M

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA: Charity begins at home!!

    Yeriko Amekuwa busy kutumia multiple id kuleta na kuchangia mada,jumamosi aliumbuka baada ya kusahau kuhama id, akajikuta analeta thread,akamsifu mtoa mada, kisha anajiomba contact hapo nikathibitisha madhara ya bange na gongo kwa bavicha wengi
  7. M

    JamiiForums Tanzania KITILA MKUMBO: CHADEMA inakua, CCM inasinyaa, lakini kwa kasi ndogo!

    Du mkuu mbona unahasira?jifunze kukubali kukosolewa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kubomoa nyumba za halmashauri ya jiji la Arusha linaendelea sasa

    Lema sasa yupo dodoma anakamua posho haachi hata senti anajua kbs 2015 hana chake
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufukuza madiwani wawili Shinyanga

    Ha ha ha Makani hakuwahi kuwa na ushawishi Shy kutokana na kuamisha makaburi ya wazazi wake......acha kujiziba ufahamu kama yeriko
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufukuza madiwani wawili Shinyanga

    Hakika Mbowe anatumiwa na CCM kuuwa Chadema
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, Mbowe, Dr .Slaa na media, nawaomba mnisikilize kilio changu

    Slaa na Mbowe hawana msaada hapo , media ipi Jamhuri? kama anataka media aitishe mkuano na waandishi wa habari......haya magazeti ya propaganda chafu hayafai, asipo fanya hivyo huyu ni mzushi na anatumka auni mgonjwa wa akili nakutuma mtoa mada umpe habari hii!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utata wa Sheria na Kanuni hizi za Bunge la Katiba utazaa Katiba ya mtaa wa Lumumba

    Msongo wako wa mawazo unasababishwa na tabia yako ya hofu ya usiyoyajua (fear of unknown), mimi ninatumaini mjadala wa katiba utafanikiwa sana tu, ila ile tabia ya umimi inayojengeka kwa wanasiasa mara nyingi husema ''hoja yetu ni bora kuliko ya wapinzani'' au kuamini kwamba wao ndio wanaajenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasimamisha viongozi waandamizi mkoa wa Katavi

    Du hata Lema ni kiongozi wa kitaifa, kweli CDM ni chama cha waamsha popo!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT matatani kwa kushusha bendera ya CHADEMA mkoani Kigoma

    Mtoi=Yeriko=Saanane==uzush+siasa majitaka, juzi yeriko kaja na post halafu ana-koment mwenywe ,sasa na ww ni aina hiyo inasababishwa na mogoro wa afya ya akili, hivi wewe unahangaika na kigoma wakati kwenu lushoto CCM inapita bila kupingwa, hata balozi CDM haina mahali ulipozaliwa........lazima...
Back
Top Bottom