Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

Your take is nonsense, try not to expose your nonsense to the public, acha vijana wa bavicha ndio waendelee kujua udhaifu wako.
 
Msimamo wa JK ni kinyume na msimamo wa Lowassa. Lowassa alikuwa na msimamo sawa na Waethiopia...

.....

.....Heshima kwako !!!!

Kamanda kunawatu humu haswa Magamba ya lumumba-masisiemu vichwani yamejaza maji !!!!

nile.jpg
 
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

kwanini huna akili??
 
his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”
Penye haki tumpe haki JK hana kosa hapa!! Na tusiruhusu Vijibwa vya kigeni kutuchezea kama hawa!! Tuko pamoja kama NChi linapokuja suala la UTAIFA!! Maji ya ziwa victoria chanzo cha nile 75% ya victoria ipo TZ halafu eti Tz haina "Juridiction" damn it!!
 
JK anaweza akawa na mapungufu yake ila kwenye hili sidhani kama kuna tatizo.. Hivi ukitembelewa na mgeni ambaye ana bifu na mtu mwingine ambaye mnafahamiana, na ukaamua kuwa neutral kwa kusema huo mto ubaki kuwa chanzo cha ushirikiano na sio conflict; tatizo liko wapi..? Labda kama sijaelewa au kuna habari nyingine ambayo sina.. Ila sidhani kama JK alikuwa na shida.. He is playing his role as one of the stakeholders wa mto Nile kwa kujaribu kuzuia migongano kwa sababu ya mto huo...
 
Hayo maji hata sisi tunayahitaji sana tu.....

sisi tumeyaacha kwa ajili ya kuwahurumia wote
Hili ndio tatizo la Mtanzania, hajui kuhangaikia, kulinda, kufuatilia masilahi yake. Utasemaje maji unayahitaji sana lakini umeonea wenzako huruma ambao wewe umechoka mbaya kuwazidi wao kwa kila kitu achilia mbali ukosefu wa maji tu?

Kikwete angekuwa na balls angetoa statement hiyo mbele yao wote, sio unakutana na upande mmoja halafu unatoa statement ya kuwatosa wa Waethiopia.

Ili Wa Egypt waendelee kutumia maji itabidi wawasawazishe Wa Ethiopia kiaina, sio bure bure tu kama sisi alikuja hapa water minister wa Egypt mwaka juzi akasema kuanzia leo Egypt Air itaanza ku fly to Dar, wabongo wakapoa, maji yakaendelea kutiririka.

Lowassa alishakataa mchezo wa kuwaendekeza wa Egypt, kuanzia 2015 tunaanza kuvuna maji ya nile.

when were you not?

But what do they want the man to say
did they say they want the man to say anything?
 
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?
Hiyo mitazamo yako next time na wewe uangalie pakuitoa.
 
did they say they want the man to say anything?

Pugilist,

Umepata free wifi yako ya mara moja kwa mwezi kuingia mtandaoni?

Why should they say they want the man to say anything for a head of sovereign state to say anything?

Unaongelea Mtanzania kutojua maslahi yake wakati unataka kupunguza nguvu za rais kuongea kama the head of state of a sovereign nation?

Unajikanganya!

Hujui kwamba hata Kikwete kuonekana ni regional leader anayetoa sane statements za kuzuia migogoro isiyo ya lazima kuna maslahi kwa Tanzania, kwa maana ya kuendeleza image ya Tanzania kama nchi ya amani etc.

Hujui kwamba Ethiopia na Egypt kikinuka watu wakapigana vita huko wakimbizi watakuja mpaka huku na ku divert resources zetu, kuongelea kuzuia migogoro kabla haijatokea kuna maslahi kwa Tanzania.

Unaangalia "maslahi" ya Tanzania katika mtazamo finyu sana.
 
is that the only thing that could otherwise be said?

What is wrong with what Kikwete said, to a balanced person, not a pugilist, a medieval warrior, an Ethiopian plagued by that infantile disease called nationalism or his confused apologist?
 
Kwani kauli ya Rais JK ina tatizo gani?

Watu wanataka JK awe muoga hata kutoa a blanket diplomatic statement inayotaka nchi za Afrika zishirikiane na kushauriana kabla ya kujenga mabwawa.

Hao WaeThiopia wenyewe wanaojifanya kupiga beat Wangesikia Waganda wanajenga bwawa bila kushirikiana nao wangelalamika!
 
East Africa Eagle nafikri hujui Jografia vizuri, rudi shule mkuu ukasome upya. Sioni mahali ambapo Ethiopia inategemea maji ya mto nile unaoanzia ziwa Viktoria? Ukikausha ziwa viktoria atakayeumia ni Sudan, Libya na Misri lakini siyo Ethiopia. Elewa kwamba tawi moja la mto Nile linaanzia Ethiopia ndo maana Misri anapiga kelele! Ni hayo tu mkuu!
 
....Mkuu asante kwa kumsaidia !!!
 
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

Your thinking and its conlusion are based on erroneous information and judgement.

You have not made your due diligence on facts on the groung.
The Egyptians came to Tz to seek reinstatement into the African Union and not use of theNile waters.
We are on record for making a unanimous decision with other African countries on the Nile Basin to use the Nile Waters for the countries benefit.
That was decided with or without the Egyptians cooperation on the issue.

Your article , I am afraid, is just an attempt at stoking discontent among Tanzanians.
 
Back
Top Bottom