Recent content by MWANANZELA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni wizi mpya NMB ama nini shida?

    Kama upo Dar nenda NMB house kitengo cha mikopo na hiyo salary sleep ya mwanzo uloanza kukatwa na ya mwisho na hata za miezi ya katikati, watakusaidia ndo shughuli yao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mwalimu kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli

    Kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana namba za huyo MWL plse aziweke hapa ili aweze kupatiwa msaada ya kisheria kwa kesi aliyofunguliwa huko Ngara,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka nimuache kisa nimeshindwa kumnyonya sehemu za siri

    Mnyonye hadi mku........du huyo we vp? Nafasi hadimu izo wewe,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

    Shahidi amesema baada ya kulengwa na bunduki huku huyo mbwiga akimkaribia yeye aliishika akanyanyua juu mtutu, Ni kosa kubwa kumuelekezea MTU mtutu, Anayetaka kunyanganya anafuatwa na mnyanganywaji kuwa nimekuja ninyanganye au ye ndio angemfuata huyo bwege? Walioshuhudia watatoa ushahidi na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania M/kiti BAWACHA Agnesta Lambert, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay kwa kosa la kupiga picha mahabusu

    Ni kosa chini ya sheria IPI na kifungu kipi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV (wasifu) wa Kamanda Lazaro Mambosasa aweke hapa

    Matamko yake yanatosha kujua CV yake.sifa za kutafuta vyeo tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Ni watu wawili wanaofanya kazi kwa sheria tofauti, tatizo siasa au tamko za kisiasa ndo mnaziona ndo sheria, Ocd akifanya kazi inayoweza kumsababishia ashtakiwe kwa maagizo ya RC au DC atashtakiwa kwa mujibu wa taaluma yake. Wanaojielewa wanafuata sheria sio kauli za wanasiasa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tido Mhando afikishwa Mahakamani, asomewa mashtaka matano na kuachiwa kwa dhamana

    Huwezi kutofautisha kati ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka?
Back
Top Bottom