Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,011
- 811
Natumani mnaendelea na kumalizia Pasaka, binafsi mimi jana nimekuwa na mawazo juu ya mkopo wangu wa NMB.
Mnamo terehe 17.3.2018 niliomba mkopo NMB ambapo jumla ya deni lao likawa milioni kumi na point zake, wakaanza kukata kama kawaida mwezi uliofuata baada ya kupata mkopo na kwenye salary sleep ilionyesha mtiririko mzuri wa pesa inavyo katwa nazani kwa watumishi huwa inaonyesha pale inavyokatwa ndio pesa ya deni pale yani (figer) hupungua mwezi hadi mwezi tangu mwaka jana sijakopa mkopo tena NMB.
Sasa nakuja kuangalia salary sleep ya mwezi wa 1, 2 na wa 3 inaonyesha pesa za mwanzo kabisa kama ndio nimekopa pesa mwezi huu yani milioni kumi na point tena wakati mwezi wa 7 mwaka jana ilionyesha nadaiwa milion 7 na point mwezi wa 12 mwaka, huyu deni lilisoma milioni 8451387.10.
Cha ajabu sasa Tarehe 28.2.2018 deni lilisoma tena milioni 10394684.90 hapa nini kimefanyika, ndugu zangu naombeni japo msaada wa mawazo tu kabla ya kesho kwenda huko, sijaongeza mkopo tena mimi.
Uzi nimeufunga huu naomba moods muufute