Recent content by mwananyoro

  1. M

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    kupata join instruction ingia tovuti ya nacte wameshatoa ya bumbuli.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Ufamasia

    acha upotoshaji kaka, kozi yoyote ya afya(yoyote) msingi mkuu ni somo la biology, kama huna bios sahau.(Pcb)
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

    angalia kwenye profile yake aliyotumia wakati wa application
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    acha uongo bana, hiyo kozi iko vyuo kibao tu, kuna udom,sua, udsm nelson mandela arusha vyote vinatoa bachelor ya hiyo mambo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    vp kuhusu irrigation enguneering diploma, ajira zake n.k
  6. M

    JamiiForums Tanzania Students of WDMI (Water development and management instute) Tufahamiane hapa

    kati ya hizi kozi mbili zinazotolewa na WDMI, i.e diploma of irrigation engineering Vs water supply and sanitation engineering, ipi iko poa na urahisi wa ajira na maslahi kwa ujumla. kwa anaefahamu welcome plz.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    vipi kuhusu irrigation eng, imekaaje kiajira?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Second selection vyuo vya afya majina yameshatoka

    community health majibu lini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

    je hizi vp wadau water supply &sanitation eng and water quality lab, zote za wdmi ipi nzuri?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kama uliweka cha kwanza private bas ujue kuna uwezekano mkubwa wa kupangiwa hiko chuo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    ukweli gan we elieneza, kwani umekuta profile yako unasomekaje?? tuambie tujue
  12. M

    JamiiForums Tanzania appl ya mechanical engineering

    electrical vp uliapply? dzain civil washakua shaz kitaan kak..iko poa sana electrical
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mpaka saiv hawajatoa duuh..itakua mid of sept wazee...inakera san hawa nacte
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    wanazngua nacte
Back
Top Bottom