Naona Rostam na huyu Singasinga kwa niaba ya CCM wanatudharau sana Watanganyika halisi!
Unqualified Mzenj ni waziri wa fedha Tanganyika
Tumepewa Msomali kuwa boss pale TRA!
Dentist wa Tembo yuko above the law!Oh my God!
Hakuna mtu aliyekuwa passionate na Tanganyika kama Rev Mtikila.
Nilimwona kama sikosei mwaka 1995 hivi akitembea na bendera ya Tanganyika akielekea mitaa ya Shaban Robert.
Simwoni frontline kwenye UKAWA,au ndio magamba yamempa kitu kidogo akae kimya?
Nimesikiliza audio ya Bishop Kakobe,masaa 2...
Haha una ndoto za abunuisi.
Eti kulinganisha Ujamaa na Kujitegemea na nchi za Scandinavia!!!!
Wote tumesoma shule!Ila mimi sio wale wa liosoma Kivukoni!au watoto wa Magamba!
Nchi gani imesuccedd dunia hii kwa socialism?
Nchi za Scandinavia zinafuata market economy .Umeshakaa Uingereza au nchi...
Le mutuz una bifu na Mh Lissu kwa sababu alihoji uteuzi wa dada yako kuwa jaji ufupi hakuqualify simply ni jina tu.kuna blogu inasema tangu 2006 wakati wanaripoti dada yako jaji feki alikuwa hajasikiliza kesi hata moja!kazi yake ilikuwa kwenda kutibiwa India
Mpaka leo sielewi kama Aboud Jumbe alikuwa pro Zanzibar mbona bado yuko Kigamboni Tanganyika.Kama yuko kizuizini mpaka leo bila shaka wanasheria wangechallenge hii detention without trial
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.