Wana Jamii forums,
Binasfi nimesikitishwa na kauli ya yule Dada aliyekuwa anaonge kwenye vyombo vya habari hasa Wapo radio. Alikuwa akiongele manyanyaso wanayopata watu aina ya albinism. Kweli miaka 50 ya mungano bado hatuna njia ya kuwalinda watu wenye maono hafifu (Abino) ambao kwa sasa wanaishi kwenye mazingira magumu. Inasikitika kuona jumla ya watu 70 au wameuwawa au wamejeruhuwa. Hata kama serikali haiamini uchawi, japo watendaji wengi wa serikali au ni wachawi moja kwa moja au wamejihusisha ya mambo ya kishirikina.
Rais yupo, waziri mkuu yupo, polisi wapo na jeshi lipo, wamekaa kimya tu kana kwamba hawaoni na wala hawasikii. Vyombo vya kutetea haki zabinadamu hawalijui hili? Kwakwe liinauma sana. Wachungaji na Masheh hii Tanzania inakwenda Wapi? Inasikitisha sana.