Recent content by mwanamudodo

  1. M

    Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Hapo sasa naanza kuelewa,kumbe vita hii si ya madawa hharamu ya kulevya bali ishakuwa ya kisiasa...ccm v/s upinzani?sasa mbona Gwajima akaachiwa huru bila masharti yoyote?
  2. M

    Picha: Mgombea mwenza wa UKAWA Juma Duni Haji ahutubia wakazi wa Mtwara

    Hawana macho watasema imeungwa na picha za Dr. slaa au ni photo shop maana vichwa ni:bange::bange:
  3. M

    BBC Swahili Tumewachoka!

    Hili ndilo tatizo kubwa linalotukumba watanzania,kamwe ukweli hatuupendi na tunafurahia kuongepewa,hivi wewe ulitaka usifiwe kuwa shilingi ya Tanzania inaimarika wakati kila siku imezidi kuporomoka?sifa gani ulitaka ulinganishwe kwa shilingi ya Kenya wakati kwa sasa shilingi ya Kenya ni sawa na...
  4. M

    Watu waliotawala zaidi ya miaka 50 hawapaswi kutupa ahadi tena

    Joyce you are a GT:thinking::thinking:
  5. M

    Urejeshaji wa Fomu za wagombea Urais, Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    :mvutaji::frown::frown::frown::frown:
  6. M

    Kuvunjwa Bunge Rasmi

    hahaaaa napenda sana watanzania wa leo....alijua hatutakumbuka sababu yeye aliona tarehe 20/8/2015 ni mbali. na pia mke (katiba) kagomewa na mumewe (wananchi)....so gharama zooote za kitchen party atueleze nani atazilipa?na hiyo harusi aliyoipamba kwa mbwembwe na jamaa yake six imekula kwao...
  7. M

    Lowassa ndiye Musa wa sasa kwa Tanzania

    nadhani nyie ndo wenye uchu wa madaraka,hivi hamjishangai tu zaidi ya miaka 50 bado mwatuambia nchi changa,hiyo akili au matope?ndo mjue CCM ni chama au chombo haramu na mtaji wake ni kuwafanya watz kuwa masikin wa akili ili waendelee kutawala kwa manufaa yao na vizazi vyao... funguka ndugu...
  8. M

    Lowassa ndiye Musa wa sasa kwa Tanzania

    Mimi ninachoamini ni kwamba ukombozi umeletwa duniani kwa sababu wanadamu tu wa dhambi, ni heri yule aliyejitambua kuwa hayupo nyumba salama na kuikimbia na kwenda nyumba isiyo dhuluma kuliko kukaza shingo na kuushikilia uovu na dhuruma iliyotamalaki ccm... to me Lowassa has shown a way is...
  9. M

    Nimevamiwa na kundi la wachawi usiku wa manane

    Marketing personnel kazini:brushteeth: mkuuu kanisa gani hilo nami nije kufuata upako wa ulimwengu wa roho
  10. M

    Lowassa ndiye Musa wa sasa kwa Tanzania

    Musa alizaaliwa katika kabila la Waisrael lakin akalelewa na kukulia katika ikulu ya Wamisri chini ya uongozi wa mfalme Faraoh. Kwa uwezo wa MWENYEZI MUNGU Musa alitoka ikulu ya Faraoh na kwenda kuwakomboa Waisrael katika mateso ya miaka mingi. Hivyo ni sawa na Edward Ngoyai Lowassa aliyelelewa...
  11. M

    Rashid Mwinshehe Mzange (Kingwendu), achukua fomu ya kugombea Ubunge Kisarawe

    Kingwendu huwezi kumlinganisha Kingwendu (Mwinshehe Rashid) na wabunge wa fisiemu kama Lusinde, Maji marefu, Deo sanga (Jah pipo), Assumpta mshama nk...na hii yote hayo magamba ndo yamefanya bunge liwe la kawaida sana maana hakuna tofauti na bar au gulio...
  12. M

    Jengo la CCM Arusha!! Picha

    kwa taarifa yenu majengo ya wananchi hayo na siyo ya fisiemu...mwisho wenu kuyatumia October 2015:mod::dance:
  13. M

    Ukomavu mkubwa wa kisiasa CHADEMA

    :A S 103:fisiemu
Back
Top Bottom