Yaani we Malecela sikuwahi kukaa nikafikiri kuwa ungekuwa na akili mgando kiasi hicho. Do you think you are still growing? Man! You are shrinking now!!! Ni bora ungesettle na familia yako ukatulia. Laana ya wale watoto uliowakimbia unakutafuna na itaendelea kukutafuna. Hakika nakwambia. We...
Nimesoma post na comments zote kwa umakini mkubwa. Mngekuwa mnakipenda chama kwa nyie mlio comment yaani wana CHADEMA mngefanya uchunguzi wa hii post na sio kukurupuka kwa matusi na kashfa zisizo na mashiko. Lengo ni moja. Kukijenga chama. Sasa ikiwa mnapewa taarifa nyeti namna hii na...
Yeyote anaedai kukihama CHADEMA kisa eti Lowassa kakaribishwa basi huyo hajui siasa. Chama ni mali ya watanzania. Chama kina haki ya kupokea au kumtoa mtu yeyote kwa kufuata kanuni na taratibu za chama. Pia mnaosema kuwa Lowassa ni mwizi mnaweza kuleta ushahidi wa wizi wake? Walioiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.