CHADEMA Kimandolu, Arusha mnatia aibu!

CHADEMA Kimandolu, Arusha mnatia aibu!

kwa hiyo?unataka tukusaidia nini na umbea na wako?
 
jebibay..
Hii ndio habari. Leo mwenyekiti huyo ndg. Renatus Kimario ameondoka kwenda Tanga na basi la RATCO akiwa na mjumbe ya serikali ya mtaa wa kijenge kusini aitwaye Jesca Pascal Mudogo..

wacha uongo jesca nilikuwa nae jioni ya leo ofisini kijenge kusini
 
Last edited by a moderator:
Mungi yule mwanga wa mlima kijenge karudi tena
 
Last edited by a moderator:
Usahihi: Hakuna uwakika habari kama hii uzushi siyo mzuri

Chadema Kwanza
 
jebibay..
Hii ndio habari. Leo mwenyekiti huyo ndg. Renatus Kimario ameondoka kwenda Tanga na basi la RATCO akiwa na mjumbe ya serikali ya mtaa wa kijenge kusini aitwaye Jesca Pascal Mudogo..

Wameenda Tanga kufanya nini?
 
Last edited by a moderator:
wacha uongo jesca nilikuwa nae jioni ya leo ofisini kijenge kusini

Jesca kapanda RATCO asubuhi saa moja. Kafika Moshi kapigiwa simu mama yake kazidiwa ikabidi arudi na LIM Safaris. Njoo hapa kijiwe cha kahawa kijenge chini upewe data
 
Jesca kapanda RATCO asubuhi saa moja. Kafika Moshi kapigiwa simu mama yake kazidiwa ikabidi arudi na LIM Safaris. Njoo hapa kijiwe cha kahawa kijenge chini upewe data

hapo hamna kazi zaidi ya umbea tu badilikeni! kwani jesca ni dhambi akisafiri
 
Nimesoma post na comments zote kwa umakini mkubwa. Mngekuwa mnakipenda chama kwa nyie mlio comment yaani wana CHADEMA mngefanya uchunguzi wa hii post na sio kukurupuka kwa matusi na kashfa zisizo na mashiko. Lengo ni moja. Kukijenga chama. Sasa ikiwa mnapewa taarifa nyeti namna hii na mnazipuuzia tutafika kweli? Rusha ni adui wa haki. Kama hizi habari ni za ukweli then kuna tofauti gani na CCM. Taarifa ifanyiwe kazi na sio kupuuziwa.
 
Pikipiki imeonekana hapa kituo cha mafuta Mt. Meru Petroleum kwa lalaa kona ya mwanama leo saa tano asubuhi ikiwa imem beba girlfriend wake Renatus Kimario aitwae Mage Kitoi akielekea kanisani Moshono KKKT.
 
huna kazi ya kufanya aseee duh
 
Mtoa mada ni shoga anaka hapo kwa saidi nanga,msameheni bure.
 
Mtoa mada ni shoga anaka hapo kwa saidi nanga,msameheni bure.

Kwahiyo kuwa shoga ndo kunafanya hoja yangu ikose uhalali? Hii ni taarifa tu. Kama hutaki wee acha. Povu la nin sasa??
 
Back
Top Bottom