Habari zenu wadau. Nauza Kuku wa kisasa wa nyama ni wakubwa wamefugwa mazingira masafi na wapo tayari kwa kula .nauza kwa jumla na rejareja.jumla ni elfu6000 na rejareja ni elfu5500. karibuni sana kwa mawasiliano zaidi. Namba yangu ni 0719578900.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.