Kwa deni tulilonalo kama taifa tulipaswa kukaa chini na kujitafakari mnoo na ikibidi kuchukua hatua madhubuti kudhibiti matumizi mengi yasio na tija kitaifa.
Deni ni utumwa na dimbwi la umaskini
Ulipaji riba ni kansa ktk uchumi. Ukikopa Benki ukaweka rehani nyumba unayoishi na familia mbaya...
Watendaji kwenye taasisi zenye kupata hasara ya mabilioni wajitafakari ikiwa wanastahili kuendelea na nafasi zao au wanastahili hata kutia nia ya kugombea nafasi Za kisiasa (Ubunge,udiwani,etc)..
Kimsingi wafanye maamuzi ya kujiuzulu pasipo kusubiri kutenguliwa,Kuvuliwa nafasi au kutumbuliwa..
War propagandists often attack historical understanding as a public that doesn’t understand history, or believes a sanitized form of history is more susceptible to war propaganda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.