Recent content by mwanamfipa

  1. M

    Ngetti: Nape ulichokifanya ni aibu ya maslahi sio msamaha, na jimbo la Mtama sio lako tafuta chama kingine hilo lishapangwa kitambo

    Kuna watu wanapenda kukuza mambo, huyo Ngetti ni mtu ambaye hata address hana. ni kijana omba omba tu ..moto wa JPM unafanya watu waweweseke tu. Na bado
  2. M

    CAG:- Benki ya Posta ilitumia Million 495 kuchapa nembo

    Ili jambo limekuwa mispresentated...ukweli ni kwamba cost ya kutengeneza logo ilikuwa 10 million tu. Na baada ya hapo wakatangaza tenda ya kufanya rebranding kwa matawi yote nchi nzima ambayo ni matawi 75. Kwa wastan wa milion sita kila tawi. Huyo mwenye 200 m akapewa afanye brand ya mfano tawi...
  3. M

    Meya wa Ubungo akabidhi mashtaka yake dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye tume ya Maadili

    Approch nzuru..huyu wanaye. Mahakamani baadae baada ya bunge...nalo lazima limparue...mwaka wake wake huu bhana DAB
  4. M

    Rais Magufuli ondoa uonevu Twiga Bancorp

    Tatizo vijana mnataka mafanikio ya haraka haraka halafu mnaleta visingizio. Subirini uchunguzi ufanyike ndio utabaini ukweli...na sio kelele kwenye jamii forum
  5. M

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    ndumila 2 Walla hata hajielewi..anachofanya
  6. M

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Tunapenda kutumia Matusi ... lakini kumbukeni nani aliyemumwagia Kubenea Tindikali? Leo huyo huyo ndo Shujaa wake...Nadhani hata magazeti yake...saivi n ya udaku tuuu
  7. M

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Baada ya kukaa bungeni kwa mda ya miaka mitano bila kuwa na tija yoyote... wabunge wafuatayo wa upinzani wataonja joto kubwa kwenye kutetea nafasi za kurudi mjengoni kama ifuatavyo..... DAVID SILINDE..... SALVAORY MACHEMULI HYNES KIWIA PROF KAIGI MBASA MESHACK OPOLUKWA MH. KASULUMBAI DADA...
  8. M

    Serikali ya China yamzawadia prof Muhongo nafasi 22 za udhamini kila mwaka

    jaman kama wamemzawadia siaende akasome kwani tatizo liko wapi.....???
  9. M

    Ufisadi wa kutisha Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini

    Kweli hii nchi haitabaki salama.Leo madiwani wa CCM Sumbawanga Vijijini wamewekwa kitimoto ili kesho wasiweze kuibua sakata la wizi wa pesa zaidi ya million 260 zilizochotwa na Mkurugenzi akishirikiana na mbunge Malocha. Pesa hizo zimechotwa ndani ya mwezi mmoja. Uongozi wa CCM wilaya unahaha...
  10. M

    Mons Liberatus Sangu ateuliwa na Papa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga

    hongereni sana wana Shinyanga.. mempata Mtumishi mwema na Mwaminifu... yupo imara na hodari
  11. M

    Wasomi mbona mmemwachia Issa Shivji peke yake kuliokoa taifa?

    SHIVJI YUPI? Huyu kabachori? kalambishwa visenti basi kawa kama punguani hata kwa sasa hajitambui.....kaungana na vilaza waliopoteza taifa ......kwa hiyo usitaraji mtu mwenye akili timamu ataungana na huyo kabachori.....
  12. M

    Mkakati wa Mwigulu Nchemba Igunga kununua madiwani wa CHADEMA wakwama

    huyo mwigulu analaana kubwa sana......tena nadhani ni radhi ya wazazi wake......
  13. M

    Zitto Kabwe ndani ya Makutano Show: Adai Urais, mabilioni ya Uswisi vinammaliza

    Zitto aache unafiki.....hizo bahasha za rushwa ambazo amekuwa akizichukua kwenye mashirika ya umma kwani dhamiri haimsuti.....kuna siku ataumbuka tu
Back
Top Bottom