mwanamfipa
Member
- Aug 31, 2012
- 32
- 8
Kweli hii nchi haitabaki salama.Leo madiwani wa CCM Sumbawanga Vijijini wamewekwa kitimoto ili kesho wasiweze kuibua sakata la wizi wa pesa zaidi ya million 260 zilizochotwa na Mkurugenzi akishirikiana na mbunge Malocha.
Pesa hizo zimechotwa ndani ya mwezi mmoja. Uongozi wa CCM wilaya unahaha kuwatisha madiwani wake ili kwenye kikao cha baraza kesho wasijaribu kuzungumzia hilo, atakayefanya hivyo atavuliwa uanachama.