Watumishi wananyanyaswa hovyo tayari watu 16 wamesimamishwa kazi bila sababu za msingi. Wanatuhumiwa bila kuelezwa tuhuma zao ni zipi. Unawezaje kutuhumu mtu juu juu tu bila ya kutaja msingi wa tuhuma au kosa lake ni Nini.
Rais Magufuli ingilia kati suala hili na ikibainika watumishi wanaonewa, hatua za kinidhamu zichukuliwe haraka kwa uongozi wa benki husika.
Hatuwezi kukubali mtu mmoja anapewe dhamana ya kusimamia rasilimali ya nchi halafu aanze kuonea watu kwa maslahi binafsi.
Hapa Kazi tu.