Recent content by MWANAMASOKO

  1. MWANAMASOKO

    Anamtafuta baba yake aitwaye Method Kapinga wa Namtumbo Songea, Ruvuma

    KWA WATU WA NAMTUMBO-SONGEA-RUVUMA Bi. Betty (Rehema) Fwelefwele Kalala wa Musoma vijijini mkoa wa Mara anamtafuta baba yake mzazi aitwae METHO KAPINGA. kapinga ni jina la kabila la watu wa mkoa wa Ruvuma ambao ni wangoni,wamatengo na wandendeule hivyo kabila lake ni moja kati ya hayo.Dini...
  2. MWANAMASOKO

    Anamtafuta baba yake aitwaye Method Kapinga wa Namtumbo Songea, Ruvuma

    Bi. Betty (Rehema) Fwelefwele Kalala wa Musoma vijijini mkoa wa Mara anamtafuta baba yake mzazi aitwae METHOD KAPINGA kabila Mnyakyusa(mama mtu ndio anadai method ni mnyakyusa ila kutokana na jina la kapinga ni jina la kabila la watu wa mkoa wa Ruvuma ambao ni wangoni, wamatengo na wadendeule...
  3. MWANAMASOKO

    Kwa matukio haya hakika Wachina wana damu kali sana

    Nilikutana na dada mmoja pale msasani beach yupo na mzee wa kichina. Mtoto wao ni mchina mtupu. Yaani ukiambiwa huyo dada ndio mama yake waweza bisha. Wachina wana genetic kali mno
  4. MWANAMASOKO

    Ajira mpya za TRA

    Kwa hili nafanyaje maana nimejaza ila bado inaniambia hivyo
  5. MWANAMASOKO

    Ajira mpya za TRA

    Shida kwangu ipo hapo. Nikizitafuta hizo sehemu nakuta zingine nimejaza na zingine hazipo
  6. MWANAMASOKO

    Nataka nichukue simu ya mkopo wa kishua naomba ABC za simu hizi

    KUKOPESHWA SIMU Maisha kwa sasa yamerahisishwa. Pata kitu roho inapenda kwa pesa ndogo huku ukimiliki kitu kikubwa chenye thamani. Pata simu kwa mkopo iwe smartphone (itel, infinix na tecno) Vigezo: Kianzio 30% ya simu uitakayo Kitambulisho cha mpiga kura au cha NIDA au namba ya nida. Uwe...
  7. MWANAMASOKO

    Kurecover documents katika simu baada ya kuiflash

    Habari ya uzima. Kuna vitu nilikuwa na screenshot kwenye simu kisha naa upload kwenye Google photo. Ila sasa baada ya kuflash simu sizioni kwenye Google photo. Je nawezaje kuzipata? Nikitaka kurecovering document za simu nafanyaje baada ya kuflash simu. Asanteni.
  8. MWANAMASOKO

    Kurecover documents katika simu baada ya kuiflash

    Habari ya uzima. Kuna vitu nilikuwa na screenshot kwenye simu kisha naa upload kwenye Google photo. Ila sasa baada ya kuflash simu sizioni kwenye Google photo. Je nawezaje kuzipata? Nikitaka kurecovering document za simu nafanyaje baada ya kuflash simu. Asanteni.
  9. MWANAMASOKO

    Fikiri kuhusu vijana wa leo

    Mbaya sana mkuu. Leo tu nimewaza hivi
  10. MWANAMASOKO

    Mwamko Mpya Kuhusu Historia ya Bi. Titi Mohamed

    Palikuwa shamba huko.
Back
Top Bottom