Recent content by Mwanakulitafuta

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Kwa majibu ya wengi kuhusiana na mahojiano ya RA na TM inaonyesha kuwa Tanzania bado tunasafari ndefu ya kuzuia ufisadi na wizi wa mali za umma. RA hata angekuwa tajiri vipi lakini kama ananufaika kupitia kuiba na kufisadi rasilimali zetu akishirikiana na uongozi wa nchi ulioko madarakani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdau: Rais Samia kwa sasa anamalizia awamu ya Magufuli, kwahiyo bado anamiaka yake 10 ya kuwa Rais

    Hata akitaka kutawala milele atawale tu make kama sisi ni maiti walioko mortually unafikili kitu gani kitafanyika?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadilisha jina

    Labda nichangie kidogo,mimi nilikuwa nashida ya kubadilisha taarifa zangu mwaka wa kuzaliwa unatofautiana na uliopo kwenye kitambulisho cha NIDA. Nilipewa muda mfupi na muajili wangu kurekebisha taarifa zangu za NIDA ili zifanane na za kiutumishi kwani ndoo zilikuwa taarifa sahihi. Nilianzia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Africa hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya miwa kuleta 100,000 kwa mwezi ikiwa imekodishwa

    Wananzengo habari za muda huu. Kuna mashine niliinunua miezi 4 iliyopita kwa sh.700,000. Sasa kuna mtu anasema nimpe aifanyie kazi kwa kuikodi ikiwa mtaji wa kila kitu na services zote ni zake. Anasema atatoa 100,000 kila mwezi ambayo sawa na sh 3300 kwa siku. Nimemwambia angalau iwe 5000 kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Umeongea vyema sana kiongozi, Magufuli sawa kuna mambo alifanya mazuri lakini mabaya naona ni mengi.Huwezi kutaka nchi iwe kama familia yako itafikiri utaishi milele. Kila aliepinga twende kazi,anatamka waziwazi siwahtaji wapinzani kana kwamba wañiokubali multipaty system hawakuwa na akili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Millioni 10 na Ajira ya Serikali ya Millioni 1 kwa Mwezi, Ungechagua Kipi?

    Kwanza biashara huyo jamaa yako hajawahi kufanya anataka aanze kwa kutumia hiyo fedha yakupewa ambapo ikifa ndoo kwa heri. Alambe ajira apate hiyo m.1 kwa mwezi,apange vizuri matumizi yake na mtaji wa kuanzisha biashara ataupata hapo hata bila kuchukua mkopo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hotuba ya Rais Samia Yaitetemesha Dunia Nzima. Wazungu Wakoshwa Na Uwezo Wake

    Nilivyoona ni Lukasi sijasoma kabisaaa kwa sababu naona aibu na upumbavu nitauona mimi.Na Mungu akinipa mtoto akawa na akili kama za Lukasi ni bora nbadilishane na fungu la nyanya.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

    Tukiongelea mtu kuwa dini fulani ndoo kigezo cha uzalendo nadhani tunakosea sana,mtu binafsi kwa malezi yake kutoka kwenye familia yake na tamaa zake anaamua kuwa mwizi na mbazilifu wa easilimali za serikali. Mfano Benjamini Mkapa alibinafsisha kila kitu na hata chembechembe ya uzalendo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Muu acha wale kwani watafika wapi? Mwisho wake ni kufukiwa na tani mbili za udongo na kwenda kujibu mamlaka waliyopewa waliyatumiaje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu? Haba kaba! Anapenda umbea sana

    Siku hizi wanawake wengi ni wambea sana asisikie jambo lolote mtaa mzima utalifaham
  12. M

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumuona kama rafiki ila yeye alinitumia kama rasilimali, kakwama anataka msaada, Nimsaidie ?

    Endelea kumtendea wema uwenda akaja kukumbuka huo wema wako ikawa funzo kwake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

    Sasa wewe ambae umesoma mfumo mwingne wa elimu bila kuunga unga umelisaidia nini taifa? Umevumbua nini au umegundua nini ndugu yangu ili tujivunie na wewe?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

    Yaani ukiwa msomi alienda shule ukaandika vitu ambavyo hujawahi hata kuvifanyia uchunguzi angalau kidogo inakuwa inatia aibu. Ngoja niwaeleze kama mnataka kujua vizuri. Mtaala wa elimu shule za msingi kwa mtu aliemaliza kidato cha nne akapata four ya 28 na kushuka chini,akaenda chuo miaka miwili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Hadi sasa tumeshateua wagombea udiwani 3,182 kati ya kata 3,962 kwa upande wa Tanzania Bara

    Uzuri uliopo Tanzania ni maiti zilizolala mortually. CCM lazima waendelee kutawala milele na ndoo CCM wanalingia hilo. Mimi siku wakibadilisha vifungu vya sheria za uchaguzi ndipo nitakapo piga kula
Back
Top Bottom