Recent content by Mwanaharakatihuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Watanzania kutoka mkoa wa Kigoma waliokamatwa huko Tegeta waachiwa

    Hamna kitu cheap popularity tu. Polisi wamejiridhisha wakawaachia huna hata chembe ya msaada wewe kauze ule mlima wako wa madini uUvinza kwa Wajerumani wako tu. Naunga mkono kutogembea kwako ubunge au urais kwani cadre yako hii nchi haitaendelea. Zitto lipi unajivunia umefanya Kigoma au kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wahamiaji haramu waliokamatwa Tegeta waachiwe mara moja

    Bora zitto amejigundua mvuto wa siasa umeisha kwake na kusema hatagombea ubunge au urais2015. Leo kaja na mpya ya siasa za zamani eti bila yeye wale wasingeachiwa ili hali polisi wamejiridhisha!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wahamiaji haramu waliokamatwa Tegeta waachiwe mara moja

    Huyu kama mzigo wake umekamatwa si aseme tu sio kuongea fallacy ! Kwanza yeye na nduguye selukamba sio raia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wahamiaji haramu waliokamatwa Tegeta waachiwe mara moja

    Katika hali ya kustaajabisha mbunge machachari na rais mtarajiwa atetea wageni haramu wasifurushwe kwa kupiga simu lukuki kwa waziri wa mambo ya ndani. Wageni hao ni wa tegeta Kamwe serikali haiendeshwi kwa matakwa ya mtu au chombo fulani. Sheria ifuate mkondo wake. Source: zitto facebook page.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa vijana wa CHADEMA akamatwa kwa ujambazi.

    Yale magonjwa yako yanaendeleaje tunahitaji majibu tusije wote itwa vichaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania DC nusura amsweke rumande padre

    DC anafaa kuteam up na mwigulu kwenye usuluhishi wa loliondo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maiti ya Mwanajeshi wa JKT yaokotwa porini Makutupora Dodoma

    akili kama za deo kwi kwi kwi teh teh kumbe jf ni vyanzo vya ajira kwi kwi teh teh teh
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maiti ya Mwanajeshi wa JKT yaokotwa porini Makutupora Dodoma

    teh teh teh akili kama za deo kwi kwi kwi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maswali 6 muhimu kwa Nape Nnauye kwa mustakabali mwema wa nchi yetu na kuepusha machafuko

    mwacheni nape ni mwanafunzi wa udaktari sasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kawe: Vurugu zaibuka, Wananchi wavamia kituo cha Polisi! Mabomu yarindima

    kwanini hawawalengi risasi za vichwa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

    Mchambuzi Kaka kuwa makini
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nssf: Fao la kujitoa lajitoa na kutoweka lapata baraka zote

    Katika majonzi na simanzi kubwa nataka kuujulisha umma kuwa fao la kujitoa limefutwa siku yeyote kuanzia sasa na mwezi february mtatangaziwa. Poleni sana ndugu zangu mliokumbwa na hili. Wasalaam.
  13. M

    JamiiForums Tanzania wizi NBC wa cashier wa bank ( amebambika hela)

    Atm siku hizi zinatoa not fake du mjini ni soooooooooooooooo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Should CHADEMA Fire Zitto?

    Zitto kabwe hagombee ubunge tena anautaka urais ila namuomba atuambie ninani anataka aongoze jimbo maana hawa ADC hapa kigoma ni hatariiiiiiiiiii wameshabeba vijiji takribani vyoteeee zitto imarisha chama jimboni kwako achana na hao wapiga kelele
  15. M

    JamiiForums Tanzania Martin shao ajipibiwa kwa risasi zanzibar je tunaelekea wapi??

    Siku moja baada ya maaskofu kutoa tamko la jumuiya kikristo huko zanzibar padri apigwa risasi kichwani. Ikumbukwe katika tamko lao waliainisha kuwa kuna mauaji yamepangwa zidi ya wachungaji, maaskofu na mapadri. Katika sakata hilo likiendelea kambi ya masista yavamiwa je ni wapi...
Back
Top Bottom