Samahani bwana Malila nahisi nimechelewa sana hii thread ni toka 2009 lakini nahisi ntafaidika na usaidizi wako,nimeacquire hekari 100 sumbwanga Rukwa na hekari 20 hapo Bungu mkoani Pwani na nina vision ya kilimo kikubwa.....nimefikiria miti natarajia usaidizi wako mkuu wa kiushauri na...
........SUGU ni mwanaharakati wa ukweli kuna watu wanaponda lakini hawajsikiliza arguments zake...mimi ni mwanachama wa CCM lakini swala la wasanii naungana kabisa na kepteni Komba na Sugu,niliwasikiliza juzi walipokuwa BASATA maana waliungana pamoja!!..kuna wezi wanaoiba kazi za wasanii na wapo...
aisee 1 point 14 pia ni ya kutaja.....ila nimegundua we ni zuzu kabisa unapima division za sekondari na uwezo wa kufikiri na maisha....basi nyie mliofaulu ndio mngekuwa matajiri na viongozi...lakini vichwa wenzako ndo madudu kabisa na ndio wanaotuharibia nchi
Sugu harakati zinaendelea....hii hotuba iko makini sana na wanaotuharibia sekta nzima ya sanaa ni serikali na Clouds entertainment kwa unyonyaji wao wa wasanii na ukwepaji wa kodi za serikali.
Mifano hai,kuingia pale kwenye nyumba ya sanaa kwa watoto wa kike lazima bosi wao na mwalimu wao mkuu...
SUGU anachoongea ni kweli kabisa kuhusu unyonyaji na ukiritimba wa Clouds entertainment kwa wasanii na sekta nzima ya burudani!!....ndo maana hapendwi na kina Kusaga na RUge
Kawaida nyoka anapojivua gamba huwa na maisha marefu zaidi na si kwamba anakuwa ameishiwa sumu.
Sumu yake itabaki daima na hivyo ataendelea kuleta madhara daima,ili kuepukana na sumu yake si kwa kuvua gamba bali ni kumponda kichwa na kuhakikisha amekufa hapo tu ndipo usalama utapatikana.
kwa...
Hapa sio swala la CAG tu.....kuna kampuni ya ukaguzi inaitwa Deloitte & Touche lazima tuhoji pia competence yao kwenye ukaguzi,je ina maana hawakuona yote hayo??.....Muheshimiwa Zitto hebu hoji hili...labda kama sijui scope ya ukaguzi wao!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.