CCM wamejivua Gamba: Je CCM siyo Nyoka tena bali sasa ni mjusi tu?

Kawaida nyoka anapojivua gamba huwa na maisha marefu zaidi na si kwamba anakuwa ameishiwa sumu.

Sumu yake itabaki daima na hivyo ataendelea kuleta madhara daima,ili kuepukana na sumu yake si kwa kuvua gamba bali ni kumponda kichwa na kuhakikisha amekufa hapo tu ndipo usalama utapatikana.

kwa maoni yangu concept ya CCM kujivua gamba hata ikifanikiwa maana yake wataonekana wasafi lakini sumu yao haitaisha wataendelea kuangamiza jamii ya watanzania kwani watakuwa na maisha marefu zaidi na nguvu zaidi kutokana na kujivua hilo wanaloliita gamba.

Hivyo basi kama nilivyosema hapo nyoka kuepukana nae ni kumpinda kichwa aangamie zaidi ndipo kutakapokuwa na usalama,hapa inajumuisha mambo mengi ikiwemo wale mapacha watatu si tu kujivua gamba bali walitakiwa waangamizwe zaidikwa kufilisiwa na kupelekwa mahakamani kwa uhujumu wa uchumi wa nchi yetru masikini ya dunia ya tatu.Lakini hiyo pia haitoshi sababu washajivua gamba maana nyoka ''CCM'' atakuwa bado anaishi kwahiyo soultion ni kukiangamiza kabisa chama cha mapinduzi...na ninakiombea dua mbaya kife kabisa ili watanzania tupone,natamani migogoro izidi kuwa mikubwa wafarakane na chama kife kabisa.Hala sivyo basi watanzania tukiangamize kwa nia ya chaguzi ma kwa kuwa na "civil violence" kama arabuni.

Upuuzi wote unaoendelea kwenye taifa letu ni sababu ya huyu nyoka CCM sababu system yote ya serikali haifanyi kazi ipasavyo na badala yake imekuwa corrupt na inaendeshwa na lobyists!!

CCM ni janga la taifa,siku itakapoangamia ndipo tutakapoanza kupona!!nawaombea kila baya liwakute CCM.......ee mola sikia dua yangu.
 
Back
Top Bottom