Recent content by mwanaharakati 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

    Wakamatwe wamefanya nini? Wao wanasema mambo ambayo wana ushahidi nao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Jino kwa jino jicho kwa jicho. Ile samehe saba mara sabini imeenda wapi? au saba mara sabini sio mia nne tisini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pande zote mbili za shilingi za mwalim nyerere (nimechukua kwenye gazeti)

    Nimeamua kuichukua na kuileta huku kwa kuwa mwandishi kagusa mambo ya msingi ambayo sisi tunayaepuka. Nakumbuka kwenye hutuba yake akiwa hai alisema "awamu ya kwanza ina mabaya yake na mazuri yake tatizo letu tunachukua mabaya mazuri tunayaacha" kwanini tulichukua mabaya nahisi kwa kuwa mabaya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    crome20 utaniswamehe moja kwa kuwa wewe mwenyewe ukiiangalia katika hadhi yangu ya uwanachama humu utaona bado ni ndogo kwa hiyo sio mjuzi zaidi katika kutumia hii forum. Najifunza ndio maana nachelewa kujibu. Kuenda kwake kwa mahakama ya kawaida haibatilishi yeye kuwa muislam au ile ndoa kuto...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Nilikuwa sipo samahani sana ila hili suala lipo hivi.. 1. watu wote ambao kwa hiyari yao wenyewe watakubali kufunga ndoa za kiislamu watakuwa subjected kwenye mahakama ya Kadhi kwa misingi ya kuwa Ndoa,Talaka, Mirathi na waqfu yote hayo yatasimamiwa na mahakama ya Kadhi (Qadh). Hizo ndio kazi za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Sio kutekwa unatakiwa ufuatilie nenda hadi DODOMA kwenye hazina ya taifa usome kama upo Dar nenda maktaba uombe zile adidu za rejea zake uzisome ule ububusa wa kusoma kitu na kupuuzia au kukisemea ndio unao turudisha nyuma. Mengi anayo yaandika ni ukweli mtupu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    Mimi kuna uzi ambao huwa upo hapa JF ambao unatukana dini fulani na moderator anauacha hii huwa inaniumiza sana. Sijui malengo ya Moderator ni nini? Ukiacha hiyo hayo waliyosema mi naomba mtoe ushahidi kuwa ni uongo. Kuna yule jamaa waliomfungia miezi mitatu kwa kuwa alitoa fact na alitumia jina...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mzee Muhamed Said mimi nafuatilia makala zako nyingi hadi baadhi ya shajala ikabidi nizitafute ni ukweli mtupu na ukweli hautakiwi kuepukwa maana kuna siku utatushitaki. Nimekuwa nikihudhuria mijadala na kupewa vipeperushi vingi kutoka kanisani vingi ni uchochezi tu. Sijui wakristo tunadhani hii...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Mjini Moshi - Jan 14, 2013

    Nawasikiliza. sijajua maadili ya viongozi yanaishia wapi? Kwa swala la kukimbiza mwenge nipo nao pamoja
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mimi baada ya kusoma maandiko ya Muhamed Said niliona nisiwe na akili ya kibubutu ikabidi na mimi nitafute nyaraka pamoja na kutafuta hizo adidu za rejea zake na baadhi ya shajara alizozitumia. ki ukweli anayoeleza ni ukweli kabisa. sema wengi hatupendi changamoto na mawazo mapya. Hii ni sawa na...
Back
Top Bottom