mimi siamini kama Lissu alipigwa risasi zile ila tunafichwa mambo pale ule ni mpango mzima na misheni ndefu ya uongo ikishirikisha watu wa usalama walioo serikalini na wale waliotumwa kuekiti ni wapinzani.Subirini ya hii move au tamthilia haina tofauti sana na ile ya balali wa b.o.t
Tarehe 30/04/2019 rais wa nchi akiwa ziarani mkoani Mbeya ghafla alisimama Uyole njia panda ili awasalimie watu waliokuwa wamejaa barabarani.
Katika kuwasalimia watu ndipo alimwita diwani wa kata ya Nsalaga ambaye zamani alikuwa mchungaji kabla hajaingia kwenye siasa ili huyo diwani kwa niaba...
Kata hali ya kushangaza na inayoonekana ni dharau kwa rais Magufuli aliyesema elimu bure baadhi ya mambo yanayofanyika nchini ni tatizo hasa tuition serikali iangalie vizuri.
UMEJITAHIDI SANA KUEDITE PICHA ZA SUGU KWENYE MAGARI. NASIKIA HATA SHETANI NI MAARUFU NA ANAJULIKANA MBINGUNI ILA HUKO HAWAMWESHIMU KABISA ILA BAADHI YA WACHAWI DUNIANI WANAMWESHIMUI.
mapato ya jiji la mbeya yameongeza mara dufu wakati ccm wanatawala jiji walikuwa wanakusanya milioni 400 chadema wanakusanya milioni 1200 yaani bilioni 1.2 ila yote inaishia kulipana posho na kukopeshana madiwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.