Mbeya wamemdanganya Rais Magufuli kuhusu stendi Uyole

Mbeya wamemdanganya Rais Magufuli kuhusu stendi Uyole

Mwanah

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
353
Reaction score
101
Tarehe 30/04/2019 rais wa nchi akiwa ziarani mkoani Mbeya ghafla alisimama Uyole njia panda ili awasalimie watu waliokuwa wamejaa barabarani.

Katika kuwasalimia watu ndipo alimwita diwani wa kata ya Nsalaga ambaye zamani alikuwa mchungaji kabla hajaingia kwenye siasa ili huyo diwani kwa niaba ya wananchi aeleze shida za watu wa Uyole Mbeya ndipo diwani huyo akadai shida mojawapo ni stendi ya magari ya abiria hamna na walitaka kujenga eneo la uyole kwa wachina (Uyole ya kati) lakini wameshindwa kuwalipa watu ili wapishe eneo.

Ukweli ni kuwa kuna eneo linafichwa ambalo serikali ililipa fidia watu kwa kuwalipa fedha na kuwapa maeneo mengine wahamie ili eneo hilo pajengwe stendi na kupanuliwa soko la linalotumika sasa Uyole njiapanda eneo hilo lipo mtaa wa Sokoni kata ya Igawilo palepale njiapanda uyole mita mia moja kutoka pale alipouliza rais pale ni pa nani?

Eneo hilo lipo kati ya soko la uyole na barabara ya Mbeya Tukuyu.

Tatizo ni kuwa wajanja walishauza kwa watu wengine eneo hilo. Na walionunua hutumia jeuri ya pesa kuwaziba wenye mamraka.

Kiongozi njoo mtaa wa sokoni hapa uyole utapata ukweli
 
Tarehe 30/04/2019 rais wa nchi akiwa ziarani mkoani Mbeya ghafla alisimama Uyole njia panda ili awasalimie watu waliokuwa wamejaa barabarani.Katika kuwasalimia watu ndipo alimwita diwani wa kata ya Nsalaga ambaye zamani alikuwa mchungaji kabla hajaingia kwenye siasa ili huyo diwani kwa niaba ya wananchi aeleze shida za watu wa Uyole Mbeya ndipo diwani huyo akadai shida mojawapo ni stendi ya magari ya abiria hamna na walitaka kujenga eneo la uyole kwa wachina (Uyole ya kati) lakini wameshindwa kuwalipa watu ili wapishe eneo. Ukweli ni kuwa kuna eneo linafichwa ambalo serikali ililipa fidia watu kwa kuwalipa fedha na kuwapa maeneo mengine wahamie ili eneo hilo pajengwe stendi na kupanuliwa soko la linalotumika sasa Uyole njiapanda eneo hilo lipo mtaa wa Sokoni kata ya Igawilo palepale njiapanda uyole mita mia moja kutoka pale alipouliza rais pale ni pa nani? Eneo hilo lipo kati ya soko la uyole na barabara ya Mbeya Tukuyu.Tatizo ni kuwa wajanja walishauza kwa watu wengine eneo hilo. Na walionunua hutumia jeuri ya pesa kuwaziba wenye mamraka. Kiongozi njoo mtaa wa sokoni hapa uyole utapata ukweli
Mamraka= Mamlaka
 
Ohooo mzee wa Push Up atarudi na watu watu watapata taabu sana.
 
Niliandika bango wababe wakanyang'anyanya ila huu ndo ukweli hadi wazee waliohamishwa na maeneo nawajua kwa majina
Kama ni kweli bado haujachelewa mfikishie Mkuu wa Mkoa atamaliza hii sina shaka nae! Wananchi tunaelekezwa kupeleka kero zetu kwa viongozi waliopo kwenye mkoa tusisubiri mpaka viongozi wa kitaifa waje ambao ujio wao ni mara chache sana!!
 
Back
Top Bottom