Recent content by mwanah eidy

  1. mwanah eidy

    Tetesi: Ruby na Darasa kujiunga WCB

    Hahahahahahahaha labda sio darasa huyu tunaemfahamu. DARASA sio mtu wa kupelekwa pelekwa
  2. mwanah eidy

    Ukiona mwanamke anafika Miaka 30 hajaolewa, kuwa nae makini kama unataka kumuoa

    Maskini dunia inaelekea mwisho Eeh mungu tusaidie.
  3. mwanah eidy

    Nioe yupi kati ya hawa, mtundu kitandani au asiyemtundu kitandani?

    [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
  4. mwanah eidy

    Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    Haina ushemeji, TUNAKULAGAAAAAA
  5. mwanah eidy

    Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    Sanaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. mwanah eidy

    Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    Wengi tu n Naolewa Soon na Mwanaume mwenye akili zake na busara.
  7. mwanah eidy

    Naomba ushauri: Dini inavuruga uhusiano wetu

    Mapenzi hayachagui dini wala kabila, kama Anakupenda kweli huwezi kukataa kaolewa eti sababu ya dini, akikataa jua hakupendi.
  8. mwanah eidy

    Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

    Na unakuta mtu anaponda halafu nae ni mtoto wa single mama hahahahahahahaha
  9. mwanah eidy

    Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

    Utakua na alegy na kitu na bado hujajua ni kitu gani, ni mbaya sana hio. jaribu kwenda kwa madaktari wa ngozi watakusaidia tatizo lako
  10. mwanah eidy

    Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    Hahahaha nilitaka kuuliza hilo swali Mwanaume mwenye akili na busara hakurupuki kama huyo
  11. mwanah eidy

    Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    Unahitaji maombi wewe, na usafishe nafsi yako.
  12. mwanah eidy

    Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    Akili zako fupi, nina wasiwasi na kimo chako pia, hakuna wanawake wanajua kutafuta pesa kama single mamas kwa Taarifa yako, naweza kuolewa na nisitegemee hata shiringi Mia ya mwanaume kuhudumia mwanangu.
Back
Top Bottom